Watch "CHINA PLAZA - Dar es Salaam - Tanzania" on YouTube

China plaza sio mobile plaza...me nimeituma muone tu wanavitu gani infact wanavitu vingi kama mlivyoona....maduka kadhaa ushindwe mwenyewe
 
based on one video clip? really?????
I have watched that video and i don't understand! Those houses...nononono! Not in the city!
And that tower i don't know what is special about them!!

Our 4 stars can takes it down outright! Like the Best Western Premier Hotel Nairobi
BWPremier%20Guro%20Hotel.jpg

best-western-premier.jpg
 
What is this about?
 
Haiya hii ni Dar? Like seriously! The tower might be ok! But the surrounding buildings man! what? I now have a clear view of what Dar is!
Kwikwikwikwi. Tatizo hujawahi kufika dar. Hilo ni eneo dogo sana. Ngoja tukuoatie video kibao za dar japo ule kwa macho.
 
Hebu tulia ueleze vizuri. Unataka kusema nini hapa?
Nasema huenda kuna sehemu pamekaa vizuri huko Dar, lakini hapo mpika picha wa ile video alipachukua panaonesha mtazamo kwamba jiji lina nyumba mbovu mbovu! Hebu tazama hiyo video tena!
 
Iko maeneo gani iyo,mchina katuzoea mpaka kaweka na tower yake mambo ya Mao vs Nyerere hayo.
Sio mbaya maana ndo rafiki yetu wa kweli uyu kwenye shida na raha
 
Nasema huenda kuna sehemu pamekaa vizuri huko Dar, lakini hapo mpika picha wa ile video alipachukua panaonesha mtazamo kwamba jiji lina nyumba mbovu mbovu! Hebu tazama hiyo video tena!
Ndio maana mikasema wewe unaambiwa tu hujawahi fika dar. Kwa hiyo unaifahamu dar kupitia picha.

Ndio maana kwakuwa wewe ni mshamba umekomaa kutupia nyumba za wenzako huku wewe hutupii yako. Wakati wewe umakaa mathale.
 
Unataab wewe Annael! Mawazo yako huenda masafa mafupi! Unafikiri Mkenya akikaa Mathare atalingashwa na Mbongo anayekaa huko kinondoni? Wakenya ni watu waliopevuka kitambo sio kama huko Bongo! Mr sister teaches in Dar lakini anashangaa mlivyo polepole na msioelewa mambo mengi kwa haraka! Sio lazima nikuambie Naishi wapi Nairobi, Maadam unaniona hapa JF kila wakati nikipost na si kwa phone app inafaa kukuonyesha kwamba hata Mathare niko connected and online always kutumia tarakilishi! Na kama unavyosema mimi nikaa Mathare na ninaweza kutumia vitu kama hivyo maanake Mathare inamaisha mazuri sio kama huko Dar! Hebu unda uzi wa Mathare vs Dar-es Salaam!

Kabla ya uzi huo wa Mathare na Dar kuanza, wacha nikupe taswira ya wakenya huku Nairobi ndio ujue haifai kujilinganisha na sisi hata siku moja!! Ukiwa unapingamizi toa dhibitisho la picha!
13549341_1725502887701637_157363717_n.jpg

13414373_1091164567609602_955651914_n.jpg

13532007_1023482427729931_1948455092_n.jpg

ClURx21VEAA_j_t.jpg

ClTqiK2WIAAfccl.jpg

motorcycle-rider-14542986.jpg
Dj Stylez Code Red
 
Huna akili kabisa ww umesoma na ukabaki tu mjinga pumbavu
 
Back
Top Bottom