China plaza daresalam
based on one video clip? really?????Haiya hii ni Dar? Like seriously! The tower might be ok! But the surrounding buildings man! what? I now have a clear view of what Dar is!
I have watched that video and i don't understand! Those houses...nononono! Not in the city!based on one video clip? really?????
What is this about?I have watched that video and i don't understand! Those houses...nononono! Not in the city!
And that tower i don't know what is special about them!!
Our 4 stars can takes it down outright! Like the Best Western Premier Hotel Nairobi
Kwikwikwikwi. Tatizo hujawahi kufika dar. Hilo ni eneo dogo sana. Ngoja tukuoatie video kibao za dar japo ule kwa macho.Haiya hii ni Dar? Like seriously! The tower might be ok! But the surrounding buildings man! what? I now have a clear view of what Dar is!
Hahaha! Ok! Lakini kwa hapo hiyo video ilinukuliwa, Kama jiji nimekataaKwikwikwikwi. Tatizo hujawahi kufika dar. Hilo ni eneo dogo sana. Ngoja tukuoatie video kibao za dar japo ule kwa macho.
Hebu tulia ueleze vizuri. Unataka kusema nini hapa?Hahaha! Ok! Lakini kwa hapo hiyo video ilinukuliwa, Kama jiji nimekataa
Nasema huenda kuna sehemu pamekaa vizuri huko Dar, lakini hapo mpika picha wa ile video alipachukua panaonesha mtazamo kwamba jiji lina nyumba mbovu mbovu! Hebu tazama hiyo video tena!Hebu tulia ueleze vizuri. Unataka kusema nini hapa?
Ndio maana mikasema wewe unaambiwa tu hujawahi fika dar. Kwa hiyo unaifahamu dar kupitia picha.Nasema huenda kuna sehemu pamekaa vizuri huko Dar, lakini hapo mpika picha wa ile video alipachukua panaonesha mtazamo kwamba jiji lina nyumba mbovu mbovu! Hebu tazama hiyo video tena!
Unataab wewe Annael! Mawazo yako huenda masafa mafupi! Unafikiri Mkenya akikaa Mathare atalingashwa na Mbongo anayekaa huko kinondoni? Wakenya ni watu waliopevuka kitambo sio kama huko Bongo! Mr sister teaches in Dar lakini anashangaa mlivyo polepole na msioelewa mambo mengi kwa haraka! Sio lazima nikuambie Naishi wapi Nairobi, Maadam unaniona hapa JF kila wakati nikipost na si kwa phone app inafaa kukuonyesha kwamba hata Mathare niko connected and online always kutumia tarakilishi! Na kama unavyosema mimi nikaa Mathare na ninaweza kutumia vitu kama hivyo maanake Mathare inamaisha mazuri sio kama huko Dar! Hebu unda uzi wa Mathare vs Dar-es Salaam!Ndio maana mikasema wewe unaambiwa tu hujawahi fika dar. Kwa hiyo unaifahamu dar kupitia picha.
Ndio maana kwakuwa wewe ni mshamba umekomaa kutupia nyumba za wenzako huku wewe hutupii yako. Wakati wewe umakaa mathale.
Huna akili kabisa ww umesoma na ukabaki tu mjinga pumbavuUnataab wewe Annael! Mawazo yako huenda masafa mafupi! Unafikiri Mkenya akikaa Mathare atalingashwa na Mbongo anayekaa huko kinondoni? Wakenya ni watu waliopevuka kitambo sio kama huko Bongo! Mr sister teaches in Dar lakini anashangaa mlivyo polepole na msioelewa mambo mengi kwa haraka! Sio lazima nikuambie Naishi wapi Nairobi, Maadam unaniona hapa JF kila wakati nikipost na si kwa phone app inafaa kukuonyesha kwamba hata Mathare niko connected and online always kutumia tarakilishi! Na kama unavyosema mimi nikaa Mathare na ninaweza kutumia vitu kama hivyo maanake Mathare inamaisha mazuri sio kama huko Dar! Hebu unda uzi wa Mathare vs Dar-es Salaam!
Kabla ya uzi huo wa Mathare na Dar kuanza, wacha nikupe taswira ya wakenya huku Nairobi ndio ujue haifai kujilinganisha na sisi hata siku moja!! Ukiwa unapingamizi toa dhibitisho la picha!
Dj Stylez Code Red
China plaza daresalam