Watawala wa nchi za Afrika wapatwa hofu kuhusu ICC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watawala wa nchi za Afrika wapatwa hofu kuhusu ICC

Discussion in 'International Forum' started by amba.nkya, Feb 3, 2012.

 1. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kutokana na tabia ya watawala wa nchi za Africa kuwa ving’ang’anizi kwenye nyadhifa zao pindi wamalizapo mihura ya kutawala serikali wanazoongoza.
  Hali hii ndio imeanza kuwapa matumbo moto baada ya joto la Mahakama ya kimataifa (ICC), The Hague kuzidi kuwaunguza watawala wa Kiafrika kutokana na uroho wa madaraka kiasi cha kuvunja haki za binanadamu ikiwemo umwagaji damu na vitendo vya unyanyasaji.
  Taarifa zinasema viongozi wengi walioko madarakani na waliostaafu wanapatwa na kiwewe kwa hofu ya kushughulikiwa na ICC kutokana na matendo yao ya utawala wa kibabe wanaofanya au walioufanya enzi za utawala wao.


  Alianza Charles Taylor, kafuata Mubaraka, na sasa akina Uhuru Kinyatta, Ruto…naomba orodha iendelee kwa wengine…………………….
   
 2. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pieri bemba,rola balbo,
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hawa jamaaa wa ICC ni kwa ajili ya watawala wa nchi za dunia ya tatu tu?
   
Loading...