Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,222
Kuna tatizo mahali flani...Tena ni tatizo kubwa...tatizo kwetu sisi watanzania.....kwa sababu tunadanganyika kirahisi saaana...tena kwa uongo uleule kutoka kwa watu walewale kila siku.
Hivi si ni sisi tuliambiwa Tutapewa Sukari Bure...Tena si muda mrefu uliopita....kwa nini watawala hamtugawii sukari ya Bure?
Si mliamrisha sukari iuzwe sh 1800,Mbona mmeshindwa kusimamia bei hiyo?
Si mlisema mtaibadili Kigoma kuwa Dubai,kwa nini hadi sasa hamjafanya?
Si mlisema mtawapatia walimu kompyuta nchi nzima? Mbona mmesahau kauli zenu?
Si mlisema mtatupatia Sh Milioni 50 kila kijiji? Mbona kimya na hatusikii mkisema kitu?
Mkatuambia tutakuwa na maisha bora kwa kila mtanzania mbona hatuyaoni?
Mkatuaminisha mnatumbua majibu alafu majibu yataturudishia hela walizoiba.....mbona hatuoni hela zikirudishwa?
Mkatoa siku 8 wasiolipa kodi wawe wamelipa.....hakukuwa na mrejesho wowote
Mkatuambia kuna watumishi hewa benki kuu...gavana akakanusha....mbona mnatuchanganya?
Mkatuambia Tanzania itakuwa ya viwanda vya kutosha kama Mabugando ya Dar es salaam...Lakini hadi sasa hakuna dalili.
Tafaadhali watawala wetu..Chondechonde...tuoneeni huruma...Msitudanganyeee