Watawala mkae mkijua hata huku wapo!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Napenda kuwakumbusha watawala wasione kwenye al jazzira wakona kama nikitu kisichowezeka kwetu!1wakae wakijua nguvu yaumba ndiyo njia mmbadala kwa kutafuta haki ya wanyonge iliyokaliwa kwa mabavu na madikiteta wakiafrica hivyo mjue na huku maandamano kama haya yatakuja ccm mkae mkao wakutoka madarakani kwa ni wananchi wamewachoka!!Huyo mzimu wa maandamano hauko mbali na Tanzania!Nakibaya zaidi halufu yake hipo ndani yanyumba!!
 
WLJ7MNUKQ7.jpg
 
Back
Top Bottom