MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Hapa ndipo utakapoamini kwamba kila uchaguzi kua CCM hua wanawadanganya wanamchi, wananchi nao wamekua wakidangayika bila kufahamu lolote maskini.Watu wanajiapiza kua tutafunga mafisadi wote, pesa wenyewe ni mikopo hakuna sababu ya kuwanyima mikopo!
Lakini tazama majibu baada ya uchaguzi, "Sitafukua makaburi" tunapandisha ufaulu, waliosoma shule binafsi hawapati mikopo" hayo ndio majibu yao baada ya uchaguzi.
Sasa imekua ni tafadhali ya Jana, kilio kila mahali, woga umetanda maofisioni na sio nidhamu ya kazi.Watu wamebadili mbinu za kuiba na ndio maana wizi unafanywa kwa style inayoendana na u tawala uliopo.
KUNA JIPYA GANI?
Binafsi jipya kwangu ni kuanzisha mambo ambayo mpaka sasa matokeo yake hayaonekani kiasi kwamba mtu anaweza kusema tunajivunia jambo flani kwa sababu ya utawala huu. Kinachonipa wasiwasi ni pale ambapo unakuta mambo makubwa yenye kulibeba taifa yanapangwa bila kitengewa bajeti yake bungeni na kujadiliwa, hapa inamaana tunaweza kukuta hatuna pesa hazina kwa sababu iliyokuwepo inatumika kwenye miradi ambayo haikupangwa, angalia ndege, kuhamia Dodoma, kupambana na madawa ya kulevya.
Hatukatai kua mambo haya ni muhimu, lakini kama yanabeba ajenda ya kitaifa hutengewa bajeti na bunge ili kua katika ufanisi.