Watatu akiwemo mtumishi wa TRA Arusha wadakwa na TAKUKURU

Ilitiokea nafasi za kazi hapo TRA,Dsm ambapo walihitajika wafanyakazi wapya kama 60 hivi lakini kwenye interview walifika maombi 34,000 na kila rushwa Afrika ni ujanja sio kosa,utasikia analaumiwa kwa ujinga kwamba wakati wake hakujijenga kwa alie staafu na si mla rushwa na ametoka na maisha yake ni ya kawaida sana
 
Hii mijamaa ya TRA kwa rushwa balaaa! Ukienda TRA kijitonyama jengo la Millenia Tower utakuta midada imenenepeana na kuvimbiana utafikiri inataka kupasuka, balaa angalia wakati wa lunch yao duh? Sasa jichanganye ukutwe na kosa!!! Ushahuri wao umekaa kimitego ili wakupige! Bado TRA ni mzigo kwa wananchi! Wanachoiingizia serikali hakilingani na wanachojitajilisha binafsi
Acha husda na roho mbaya
 
Back
Top Bottom