Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,005
- 173,646
Kazi vijana wamefukuzwa kwenye umachinga waje kukutawaza matackle ama?Mfumuko wa bei utauzuiaje kama hujishirikishi na uchumi? Mumekalia politicking tu badala ya uzalishaji. Theory ya Economics inasema inflation hutokea panapokuwa too much money chasing too few goods. Tokeni kwa Shemeji zenu nendeni mkafanye kazi!!