Watanzania zindukeni, Taifa linazama

billgate

JF-Expert Member
May 6, 2021
365
500
Mzimu wa JPM unalitafuna Taifa na kama ilikuwa si kwa mapenzi ya Mungu tujiandae na dhiki kuu
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
6,155
2,000
Afrika ni bara masikini, hivyo hata kama ingekuwa ni nchi ya kwanza barani Afrika bado ingekuwa masikini tu. Hapa unachojisifia ni sawa na kumsifia mtoto wako kuwa kwenye top ten huko darasani lakini ni top ten ya waliopata division IV.
Punguzeni makasiriko. Panapo mafanikio kubalini ndiyo uungwana, siyo kupinga kila kitu.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
6,155
2,000
Mzimu wa JPM unalitafuna Taifa na kama ilikuwa si kwa mapenzi ya Mungu tujiandae na dhiki kuu
JPM takataka muache aendelee kuoza huko jahanamu. Yote haya tunayopitia ni kutokana na UHARIBIFU alioufanya 2015-20
 
Ngigana

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,880
2,000
Wafugaji wamefikishwaje hapo?
Nyama ya ng'ombe inasafirishwa sana nje kwa hivi sasa, kumbuka kuna viwanda lukuki vinavyochinja na kusafirisha nyama nje. Hiyo ndiyo sababu (nafikiri) ya nyama kwenye mabucha kupanda. Lakini ni pongezi kwa wafugaji
 
Stan Mashamba

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
2,953
2,000
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.

CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.

Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000.

Tanzania ni Taifa la pili Afrika Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.

Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.

Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.

Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.

Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.

Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.

Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.

Maisha hayaeleweki, mara Tozo, sijui mara nini.

Mungu yupo, naye husimama na wenye haki.
Pamoja na maombi, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni kichocheo mhimu.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817
2,000
Duniani kote miji mikuu na majiji bidhaa huwa ziko juu.......

Hushangai bei ya nyama haifanani dar na huko mikoani?!!!!!
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817
2,000
Huyo anaishi kwa shemeji yake na ana lala sebuleni sasa akili atazitoa wapi mkuu?
Yaani vijana wa CCM ni janga la Tanzania
Una hakika anaishi kwa SHEMEJI yake?!!!

Unataka uongee kwa HISIA kana kwamba wenzako nao hawawezi kuongea KIHISIA.......

Hivi hushangai bei ya nyama ni tofauti kati ya MAJOHE ,GONGO LA MBOTO ,CHARAMBE na ile ya MIKOCHENI ,MASAKI NA MAKUMBUSHO KIJITONYAMA?!!
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817
2,000
Kuna watu akili hamna,in fact bei za nyama kupanda ni dalili kwamba wafugaji watafaidi sasa.

Hata hivyo uuzaji wa nyama na ng'ombe nje imeongezeka sasa sijui na hili ni la serikali? 😄😄😂😂..Ujinga ni mzigo mkubwa Sana aisee..

Huku mikoani hizo bei za Dar mbona hazipo? Na majitu ya Dar kila kitu ni ulalamishi hadi kero..

Hivi unaweza mueleza mtu wa kijijini kwamba tozo zinaumiza wakati zimemsaidia kupata barabara na huduma za afya akakuelewa? Ndio maana serikali inawapuuza nyie wa mjini hamjui shida yoyote .

Hata maji huko Vijijini ni tatizo miaka mingi sasa zikitatuliwa kawaeleze kwamba tozo zinaumiza kama watakuelewa,ndio maana machadema hakuna anayeyasapoti.

Kama huku ndio kuzama si bora liendelee kuzama tuu maana tunazama vizuri chini ya Samia,chuki zako hazitabadili kitu mtapuuzwa as usual.

View attachment 2022758

View attachment 2022759

View attachment 2022760

View attachment 2022761

View attachment 2022762

View attachment 2022767

View attachment 2022768

View attachment 2022769

View attachment 2022770

View attachment 2022773
😍😍👍
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
6,217
2,000
Maombi ni muhimu sana na yalimsaidia Daudi. Lakini pia kumbuka kuwa Daudi alitumia mikono yake kuchukuwa jiwe na kombeo na kulitupa. Watanzania ni lazima tuchukuwe makombeo, mawe yetu na tuweze kuyatupa kwa CCM.
Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.
 
Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
2,039
2,000
Duniani kote miji mikuu na majiji bidhaa huwa ziko juu.......

Hushangai bei ya nyama haifanani dar na huko mikoani?!!!!!
Hoja ya mtoa mada ni kuwa miezi mitatu nyuma Bei ya nyama dar ilikia ni 6,000
Lakini pia kilichopanda sio nyama tu ni kila kitu hadi sabuni
 
Iboya2021

JF-Expert Member
Dec 1, 2020
1,626
2,000
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.

CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona.

Leo hii kg ya nyama ya ng'ombe Dar ni Tsh 10,000 na vijjini ni Tsh 7,000 hadi 8,000.

Tanzania ni Taifa la pili Afrika Baada ya Ethiopia kwa kuwa na idadi kubwa ya ng'ombe.

Hebu jiulizeni nchi inakwenda wapi hii? Mwaka 2012 kipande cha sabuni kiliuzwa Tsh 200, na nyama kg moja ilikuwa Tsh 4,00.

Sasa hivi kuna mfumuko mkubwa mno wa Bei kuwahi kutokea utadhani Taifa lilikuwa vitani.

Kwa sababu CCM inajivunia Dola kubakia madarakani,siye tujivunie Mungu kuitoa madarakani,nawahakikishia Tukiungana tukafanya maombi ya Rehema juu ya Tanzania, CCM itatoweka na ukatili wake hamtaamini.

Ni mpumbavu pekee mwenye kuweza kupuuza Maombi.

Daudi alimshinda Goaliathi kwa kumtegemea MUNGU.

Na sisi tukifanya hivyo Tutaishinda CCM.

Maisha hayaeleweki, mara Tozo, sijui mara nini.

Mungu yupo, naye husimama na wenye haki.
huo niujinga namba moja hivi ccm ndiyo wanaongeza bei zavitu?

chadema wanaweza kuleta vitu vya bei nafuu? ulizeni wachumi wawaambie hizi ni vitu vya kawaida hakuwezi kua na rate moja ya bei mwaka mzima

mtabaki kuwa wapinzani chadema kwakuwa hamna akili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom