Watanzania you need to change your mindset and attitudes

Kagemro

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
1,395
2,000
Nafikiri, siyo siasa wala maisha...bali ni utamaduni uliojengeka vichwani mwa watanzania wengi.
Akili finyu za kudadavua mambo, ukosefu Wa elimu ya nadharia, maudhui na machimbuko ya wengi yanaathiri nchi , wakazi na maendeleo.

Watanzania msipo badili maisha na kila mtu kujifunza kupambana na mazingira yanayomzunguka basi maendeleo mtayasikia kwa majirani zenu.

Hii tabia ya ujuaji, umbea, uwongo, uzadiki na uchawi unarudisha nyuma maendeleo.

Tujifunze kuchunguza maneno, na zaidi kujali yanayokuhusu moja kwa moja otherwise let it go.
Guys dunia inakimbia mbona ninyi mnatembea?

Haiti mgeweza kuwa watu Wa kujituma na kuaminika basi, mngekuwa mbali.
 

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,051
2,000
You must mean down-to-top change of mindset which is a fallacy.
Be informed that we've had miserable rulers who led us to miserable path to our destiny.
 

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,998
2,000
Ask your chairperson why is he brought massive destruction in our country ,because whatever he did ,he is not successful massive failure is upon him.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom