Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge

Hili si la kusubili updates swala hapa majimbo yote kesho wanaharakati wakaombe kibali cha maandamano kuwashinikiza wabunge wetu, jpili tulianzishe wote Tanzania nzima barabarani.
 
Mie wangu hata sina wasiwasi. HATAJIANDIKISHA KUMUONDOA PINDA.

Jamaa ana GAMBA gumu sana hadi KOBE wanamuonea wivu. Sijui yeye na Kapuya, nani ni zaidi.

Anaitwa Said Juma Nkumba, mbunge wangu wa SIKONGE. Simu ya Ofisini ni : +255 787 770707

695bab71-39a8-4274-9fcb-3c1074443dd0.jpg
Mustache wake unakukumbusha nani?
 
Mustache wake utafikiri mdogo wake Hitler hahahaha
 
Nina imani kubwa signature 70 zitapatikana, kuna 48 za CDM kuna 4 za NCCR kuna 6 za kufikia toka CCM za kina Zambi, Fulikunjombe nk. Yaani kabla ya kampeni tayari kuna kura 58. Anazotafuta ni kama kura 12 tu,

atazitoa wapi......

1. Kuna kina Januari, Kigwangallah wanaojipambanua kwa kutumia jukwaa la ujana sidhani kama watamtupa Zitto...tutawaona.
2. KUB na CDM kwa ujumla lazima wataingia mstuni kufanya kampeni la nguvu.
3. Lowassa hatakuwa nyuma kuwaomba rafiki zake wamsaidie ili Pinda awajibishwe kama yeye ili kutoa aibu ya kuwa waziri mkuu peke yake aliyewajibishwa.
4. Kuna makundi ndani ya CCM ambayo yatafaidika kwa namna moja au nyingine iwapo baraza la mawaziri litavunjwa.
 
Mimi namwagiza Mbunge wangu Ntukamazina aweke saini katika fomu ya Zitto, la sivyo asirudi Ngara.
 
Kama mbunge wangu mwenye jina la bandia Lameki Nchemba Mwigulu amekunywa maji ya bendera sijui itakuaje. Piga kura sahihi kwani serikali imeoza hivyo waziri mkuu anapaswa kuwajibika
 
Nina imani kubwa signature 70 zitapatikana, kuna 48 za CDM kuna 4 za NCCR kuna 6 za kufikia toka CCM za kina Zambi, Fulikunjombe nk. Yaani kabla ya kampeni tayari kuna kura 58. Anazotafuta ni kama kura 12 tu,

atazitoa wapi......

1. Kuna kina Januari, Kigwangallah wanaojipambanua kwa kutumia jukwaa la ujana sidhani kama watamtupa Zitto...tutawaona.
2. KUB na CDM kwa ujumla lazima wataingia mstuni kufanya kampeni la nguvu.
3. Lowassa hatakuwa nyuma kuwaomba rafiki zake wamsaidie ili Pinda awajibishwe kama yeye ili kutoa aibu ya kuwa waziri mkuu peke yake aliyewajibishwa.
4. Kuna makundi ndani ya CCM ambayo yatafaidika kwa namna moja au nyingine iwapo baraza la mawaziri litavunjwa.

Kamata wezi meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen! kura zipo zakutosha mzee wa vijisent na rafiki zake 9,kwakuwa zito kajitoa muhanga apgiwe yye simu atupatie no.za simu zawabunge 20 wa ccm.
 
Tupo pamoja wakuu, tena nafikiri si kumsisitiza tu mbunge wako pekee, bali hata wale ambao unaweza kufanya hivyo pia..
 
Mimi Mbunge wangu kule jimbo la Bahi ni form four ya kuunga tena ni ccm kumuona tu waziri mkuu yeye ni fahari na ujiko wa kisiasa huko jimboni, hatadhubutu hata kuwa karibu na Zitto!
 
Mbunge wangu ni gamba mwanzo mwisho... but ngoja nijaribu kumshawishi ili angalau na yeye asaidie kumng'oa Mr. Tutalishughulikia.
 
Zisipopatikana zitatusaidia vizuri kujua kuwa wabunge wa CCM ni wanafiki, maana Bunge lina wabunge 300+ lkn sehemu kubwa ni CCM, hivyo zisipopatikana yeyote mwenye akili timamu atajua chanzo ni CCM hata km wapinzani hawata -vote. Nafasi pekee ya wabunge wa CCM kutuonyesha wako serious ni hilo zoezi lifanikiwe sio 70+ bali walau majina 250 yapatikane, vinginevyo wasubiri hasira zetu.2015 ni mbali ikibidi tutaanza kuwapopoa kwa mawe.
 
Back
Top Bottom