Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 998
- 736
Kutokana natabia zako zilizo chafu,kwenye nyumba uliyopangisha. Mwenye nyumba kaona nihery akufukuze wewe kirusi ili usije ukaleta madhara kwa wapangaji wengine na kuwafanya waame nyumba kwa sababu yako.
Sasa iweje uwanze kumtukana mwenye nyumba na huku ukiendelea kuichoma moto nyumba ya watu ingali ya kwamba unajijua wewe ni mpitaji tu kama ilivyo kwa wengine. Kwanini usiondoke kimya kimya na kuenda kutafuta nyumba nyingine itakayo endana na tabia zako!
Maneno yote haya yamenitoka kutoka na kile kinachoendelea kwa wale wote wenye kumtetea zito na kupinga na kamati kuu iliyomuona na kumkuta na hatia ya kukisaliti chama (chadema).
Ninachoshanga nikwamba ivi kama kweli imewauma kwanini wasiamue kuondoka ndani ya cdm na kwenda kutafuta kule wanapopaona panawafaa!