Watanzania wenzangu tuepuke siasa maji taka

Noel france

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
782
Likes
17
Points
35
Age
43
Noel france

Noel france

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2012
782 17 35
Kutokana natabia zako zilizo chafu,kwenye nyumba uliyopangisha. Mwenye nyumba kaona nihery akufukuze wewe kirusi ili usije ukaleta madhara kwa wapangaji wengine na kuwafanya waame nyumba kwa sababu yako.

Sasa iweje uwanze kumtukana mwenye nyumba na huku ukiendelea kuichoma moto nyumba ya watu ingali ya kwamba unajijua wewe ni mpitaji tu kama ilivyo kwa wengine. Kwanini usiondoke kimya kimya na kuenda kutafuta nyumba nyingine itakayo endana na tabia zako!

Maneno yote haya yamenitoka kutoka na kile kinachoendelea kwa wale wote wenye kumtetea zito na kupinga na kamati kuu iliyomuona na kumkuta na hatia ya kukisaliti chama (chadema).

Ninachoshanga nikwamba ivi kama kweli imewauma kwanini wasiamue kuondoka ndani ya cdm na kwenda kutafuta kule wanapopaona panawafaa!
 
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
5,764
Likes
186
Points
160
Kitoabu

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
5,764 186 160
Kutokana natabia zako zilizo chafu,kwenye nyumba uliyopangisha. Mwenye nyumba kaona nihery akufukuze wewe kirusi ili usije ukaleta madhara kwa wapangaji wengine na kuwafanya waame nyumba kwa sababu yako.
Sasa iweje uwanze kumtukana mwenye nyumba na huku ukiendelea kuichoma moto nyumba ya watu ingali ya kwamba unajijua wewe ni mpitaji tu kama ilivyo kwa wengine. Kwanini usiondoke kimya kimya na kuenda kutafuta nyumba nyingine itakayo endana na tabia zako!
Maneno yote haya yamenitoka kutoka na kile kinachoendelea kwa wale wote wenye kumtetea zito na kupinga na kamati kuu iliyomuona na kumkuta na hatia ya kukisaliti chama (chadema). Ninachoshanga nikwamba ivi kama kweli imewauma kwanini wasiamue kuondoka ndani ya cdm na kwenda kutafuta kule wanapopaona panawafaa!
Kwahiyo unataka useme CDM ni nyumba, Wachaga ndio wenye nyumba hiyo, nasisi wamikoa mingine ni wapangaji tu? Pu ....vu napiga kibiriti kidi yenu leo leo . Kumbe nyinyi wachaga ni swaini nyie? Nilikua nasikia tu kua CDM ni ya wachaga leo nimeamini.
 
Noel france

Noel france

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
782
Likes
17
Points
35
Age
43
Noel france

Noel france

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2012
782 17 35
Kwahiyo unataka useme CDM ni nyumba, Wachaga ndio wenye nyumba hiyo, nasisi wamikoa mingine ni wapangaji tu? Pu ....vu napiga kibiriti kidi yenu leo leo . Kumbe nyinyi wachaga ni swaini nyie? Nilikua nasikia tu kua CDM ni ya wachaga leo nimeamini.
kuhusu ukabila,udini,ukanda na ujinsia umefail. Tafuteni kingine.
 
Forum statistics

Threads 1,251,958
Members 481,948
Posts 29,791,579