Watanzania wenzangu ni wapi alipo Zombe???

jadide

Member
Jun 7, 2017
55
50
Nakumbuka alishinda kesi ila baada kushinda serikali ikasema haikuridhika na hukumu na hivyo wataka rufaa.. Sasa nauliza je serikali ilikata rufaa?? Na kama ilikata rufaa kesi imefikia wapi hadi sasa?? Nawasilisha.
 
U

Unamaanisha zombie au zombi? Maana mi sielewi kabisa unaongelea nini kati ya vitu hivi viwili.
 
Alikuwa rarafiki mkubwa wa DCI Adadi Rajab na IGP Alhaj Mahita. Kila siku alihakikisha jioni wanapata migao yao. Naye alikuwa akikusanya kutoka kwa akina Bageni na Lenard wengineo. Sasa wote wamamtosa Bageni. Ni kosa kuwa na kuwatumikia marafiki katika uovu. Hakuna mtu anayeweza kukutetea hadharani.
 
Yuko kwake mtoni kijichi ukifika uliza kwa mangi kata kulia barabara ya kwanza kushoto hesabu nyumba ya kwanza ya pili ya tatu ya kwake utakuta geti jekundu bonyeza kengele atabweka mbwa mweusi ndio hapohapo
Tabata kahama?
 
Kweli kabisa kama unaenda miande
 
Nakumbuka alishinda kesi ila baada kushinda serikali ikasema haikuridhika na hukumu na hivyo wataka rufaa.. Sasa nauliza je serikali ilikata rufaa?? Na kama ilikata rufaa kesi imefikia wapi hadi sasa?? Nawasilisha.

Aliachiwa huru
 
  • Thanks
Reactions: VAJ
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom