Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,103
ma foreign experts kibao hawatakagi kurudi kwao...nishapiga kazi sehemu flani na wafaransa nilikua nashugulikia work permits zao walikua wananiona kama mfalme..
Nakuamini Mkuu, kweli wageni wengi kwa mwangalio wao huiona TZ kama paradaisoo ya Duniani !! Mzungu arudi ?