Watanzania wenye asili ya bara la Asia tujuane hapa!

Nipe 0713 ujue ni mwanaume au mvulana

Ona sasa, mwanaume mzima unaongea ujinga tu...kweli mkeo atakuheshimu kama uko hivyo mkuu!! kama huna hoja za msingi ni heri ukae kimya, pia kuna majukwaa mengi tu humu (jokes, mapenzi na mapishi) i think huko panakufaa mkuu.
 
Sasa si uache Ku reply ww kubwa kubwa jinga tuachie watoto

Uzuri wa mimi huwa situkani, kukejeli wala kukashifu mtu...napoona mtu amekosea au kuongea vitu bila facts lazima nimrekebishe...siku nyingine jitahidi uje na facts za kueleweka mkuu!

Tugwisanga nkoi...Wagishage kaya!
 
Unayajua matusi wewe
 
We
Ona sasa, mwanaume mzima unaongea ujinga tu...kweli mkeo atakuheshimu kama uko hivyo mkuu!! kama huna hoja za msingi ni heri ukae kimya, pia kuna majukwaa mengi tu humu (jokes, mapenzi na mapishi) i think huko panakufaa mkuu.
wewe huku umefuata nini?lzm Ku reply any post jifunze kuwa na hata na kolomeo la vidole gumba hii itakusaidia endapo una kinyongo kwakua wewe ni great thinker nenda huko jukwaani kwa ma GT kama unaona huku ni jokes chemba
 
Kwa sheria ipi ya uraia? Tushukuru tu humu tuna majina fake lakini huu uzi ungesababisha watu kudandiwa balaa
Babu yangu ni mwarabu kabila la kahlani(anaishi oman now) na bibi ni mwarabu wa zanzibar. walikutania zazibar ,baba yangu ni mwarabu ila mama yangu ni chotara wa kiarabu mimi binafsi ni mtanzania .
 
Na mimi ni Nilizaliwa Mji unaitwa Macao baba ni mchina mama ni Mhehe wa mufindi.Ahsante muanzisha uzi...Yule Alibaba yule nikiwapa story yake hamtaamini.
 
Back
Top Bottom