Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,980
- 14,742
Mama ni Mhindi.... Isipokuwa Baba!!!
HHujui hata rais wa. Kuwait alikua Sadaam Hussein
Atakuwa mpishi huyu!Other spices !!!!!!?????
Wewe utakuwa ni mpishi wa ndani. Sasa unapika chakula kibaya usiambiwe!Najua wanakupenda kwakua unawapa kisamvu ila taabu na shida zinakukosesha amani kwakua huna mfuniko unaogopa hata kujamba
Baba yangu ni mnyakyusa wa Mwakaleri na mama yangu ni mnyakyusa wa tukuyu...
Watu huwapendi utakuaje mpishi wao mbona ningewapa sumu ya kuwaua taratibu,au nungechanganya na nyama kipande cha kinyonga waanze kunyonyoka nywele kama MwakyembeWewe utakuwa ni mpishi wa ndani. Sasa unapika chakula kibaya usiambiwe!
Uje nikuunganishe kazi ya kufua maviAtakuwa mpishi huyu!
Wahindi nao ni hao hao bora hata kama wanapewa mshahara kidogo lkn waarabu wanawapa chakula na mavazi waliyoyachoka wao pia na kazi ngumuKwani hapa kwetu wafanyakazi hawateswi? Kama unaishi mkoani nenda dar kajionee mabinti wanavyonyanyaswa na hawa hawa weusi wenzetu na mishahara wanapewa kidogo...labda kama una reason zingine. Ungeniambia wahindi hapo ningekukubalia, wahindi wana roho mbaya sana, kwanza huwezi mkuta mhindi amejichanganya na mtu mweusi,;ni wao kwa wao tu.
Wahindi nao ni hao hao bora hata kama wanapewa mshahara kidogo lkn waarabu wanawapa chakula na mavazi waliyoyachoka wao pia na kazi ngumu
Basi nimegundua wewe una chuki tu, tena bila sababu...lakini usiseme wananyanyasa wakati huo huna ushahidi wowote...alafu hii mitumba tunayoletewa huku inatoka uzunguni na imeshatumika ndio tunaletewa tena kwa PESA, Lakini mbona tunanunua tunavaa! Au tususie kuvaa kwakuwa ni makombo kutoka kwa wazungu!!!
Kumbe unanunua nilujua unapewa hizo nguo, pia mitumba sio nguo pekee naona bado hujanunua hata ndinga
Kabla ya kuwasema waarabu, tujitathmini sisi kwanza kamanda!
niah
Nimefurahi jana napita posta nawaona watz wenye asili ya asia, wakishuka na watoto wao kwenye VX moja matata. Kizuri kilichonifurahisha, wanabonga kiswahili wao kwa wao. Inaonekana kama wameamua kiswahili ndìo lugha ya nyumbani.Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
Acha matusi wewe! Ni kesi ngapi Tanzania zimepata kutokea za Watanzania kuwanyanyasa tena kwa kiwango cha kutisha ma-house girls ambao ni Watanzania wenzao?! Tena hizo ni kesi zinazoripotiwa lakini kuna zingine kadhaa ambazo haziripotiwi!Najua wanakupenda kwakua unawapa kisamvu ila taabu na shida zinakukosesha amani kwakua huna mfuniko unaogopa hata kujamba
Sio wote mkuuWabaguzi sana kuliko hata wazungu and other spices, kwakua nipata kuishi nao na kwa matendo walikua na wanayowafanyia wafanyakazi wao wa ndani ni ya kinyama zaidi kuwapa chakula tuu tena sio mile wanachokula wao waarabu.nk
Siwapendi
Mkuu kwa nini huwapendi mabeberu wenye asili ya eshia? Konde boy mchumbiji mie nmechanga na u cr7.Duniani hakuna watu siwapendi kama Waarabu na makazi yao,hili nimejitahidi kulizuia ila nimeshindwa maana hii chuki nimezaliwa nayo, narudia tena nyie waarabu siwapendi japo Mimi Nina sali na kumtumikia Mungu lkn hii kama ni dhambi imeshindikana kutubu.
siwapendi waarabu
Unamfahamu niah ni nani?Kwa hiyo waarabu wanawapa mitumba? Nani anaelia hao kina niah na wewe mnatofauti gani?
Kwa hiyo waarabu wanawapa mitumba? Nani anaelia hao kina niah na wewe mnatofauti gani?
Kwa hiyo waarabu wanawapa mitumba? Nani anaelia hao kina niah na wewe mnatofauti gani?