Kwahiyo wewe ni "mwarabu koko"......?Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mkishajuana kisha iweje?
Mnaenda kufufua kundi la Uhamsho au Hizibu?
Pole kwa msiba wa wale ndugu zako waethiopia walio okotwa kwenye viroba mto Ruvu enzi za Waziri Mwigulu nchemba.Baba wa bibi yangu alitoka Ethiopia alislimi akiwa Korogwe na kuoa binti wa kisambaa
Kumbe ndio maana mbishi mbishi kama waabeshi.Baba wa bibi yangu alitoka Ethiopia alislimi akiwa Korogwe na kuoa binti wa kisambaa
Mkuu nisije nikahojiwa uraia wanguKumbe ndio maana mbishi mbishi kama waabeshi.
Hawakubali kuunga juhudi kirahisi tahisi tu hata kama midege ya Ethiopian Airways inaleta faida.
Si unaona majuzi wamemuuwa Jenerali mmoja.
Kwani unafikiri sisi sote wakitafuta asili ya babu wa bibi kuna raia wa TZ hapa?Mkuu inside nikahojiwa uraia wangu
Wewe ukiwa sio raia wa TZ basi Shangazi Fatma Karume atakuwa raia wa Oman na Malawi.Mkuu inside nikahojiwa uraia wangu
Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
Mimi ni mburushi wa igulusi