mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za matukio ni kubwa, mitandao ya kijamii ni mingi.
Ukweli nikuwa kuanzia 1992 inaonyesha wazi kuwa wananchi wanataka mageuzi wamechoshwa na chama kimoja CCM yaani ni kama ilivyo ngumu kwa wanaume kuwa na mwanamke mmoja maishani. Lakini tofauti ni kuwa viongozi wa upinzani wao wanafokasi zaidi kupata pesa na maslai yao binafsi ikiwa kuonge vitu wasivyo viamini au kujua ambapo ni hatari kuwa na viongozi wa namna hiyo, na wahenga walisema njia ya muongo ni fupi.
Alikuja Lyatonga akisaidiwa na wale wanasharia kama Mabele Nyaucho Malandu kupitia NCCR MAGEUZI watanzania walijitoa na ilikuwa heka heka patashika nguo kuchanika, watanzania walikuwa wanataka mageuzi na bado wanyata.
Ilikuja KAFU NA Profesa wa uchumi duniani tuliaminishwa kuwa huyo jamaa ni noma yaani akichukuwa tu nchi uchumi wa nchi utapaa kama bombadia. Yaani wanasiasa ni kama waganga wa kienyeji ni fix tupu kuelekea katika ubinafsi. Nakumbuka nilikuwa ndogo darasa la sita lakini nilikuwa naelewa kwani tuliambiwa profesa huyo anagombaniwa dunia yaani tukizubaatu amechukuliwa,Kha! Lakini mpaka leo yupo bongo hajachkuliwa bado miaka 30 sasa anafanya siasa za sarakasi.
Chadema ndiyo sitaki hata kusema mi mwenyewe naona aibu, maana kacha zote na utamaduni wote wa kanisani waliukopi na kupesti kwao. Sisi watu wa kanisa kabla ya kuja kwa Chadema na vyama vingi ndiyo sisi pekee tulikuwa na mamlaka ya kuitisha makongamano, semina, mikutano na yote hiyo ilikuwa ni ukusanyaji wa sadaka. Nikashangaa Chadema nao ikawa sera yao kuu kila kona wanatembe na kapu kama huku kanisani, jamani.
Unaweza waonea uruma hawa vijana wenzetu, hapo kama wangeweza kujua dakika chache mbele kuna nini au wangejua dhamira ya viongozi wao wasinge yaacha makalio yao bila usalama, na kusimamisha shughuli zote za kutafuta kipato kuja kupiga deki barabara wakati si kazi yao ni kazi ya manispaa. Inadharirisha sana watu hivi vyama vya upinzani.
Ona hawa viongozi ndiyo wako fronti laini tunawaamini kuwa ni wakweli kupitia kauli zao na uongozi wao, angalia wanavyotoa povu utazani kweli. Hii inatosha sana kuelewa kuwa hawa ni viongozi wa aina gani si lazima uende shule. Neno moja ni viongozi feki wanataka kuindoa CCM feki.
Tatizo nikweli tunataka mageuzi ila wakuleta mageuzi bongo bado, hata wale vijana watakao nitupia mitusi kutoka Ufipa ila akikaa pekeyake ananielewa.
kila mtu alisoma na kuona Mzee mamvi hakuja hivi hivi alikuja na kitita kizito Chadema au hamjui. Alafu kama kweli ninyi wana chama na viongozi wa upinzani inabidi muwe siriazi kidogo kwa sababu mambo mengine siyo siri kwa sasa. Huyo mzee ndiyo aliaminiwa kama kachero na mzee Nyelele baba wa taifa kumpeleka Uganda kuwa msimamizi wa vita, yaani alikuwa anamwakilisha Rais akiwa Uganda, hilo si jambo dogo. Na kwa taarifa msimuangalie kwa huruma huyo mzee wakati wote wa vita alikuwa front line kule Uganda hakuwa Dar wala Munduli, mi sitaki kusema sana ila.. huyo mzee wakati wake amelifanyia taifa hili mambo mengi makubwa mengi mtayasikia akilala.
Yeye ndiyo alikuwa anawapokea makachero kutoka vyama vya ukombozi Afrika kama ZANU PF, ANC na vingine kupanga mikakati hata ile ya kumwondoa Kaburu kule kusini ya Afrika, huwezi kusema lolote kuhusu ukombozi wa Arika ya kusini bila kumtaja Manvi aliyekuwa akipigana nyuma ya pazia, alafu kilaini mkajua eti mmeokota dodo kumbe ni..
Biashara kamaliza mwanangu, 'Mzee kazi mliyonitima nimekwisha imaliza'. na Mzee Nyerere alikuwa anamwambiaga hivyo hivyo akimaliza poeresheni alizotumwa. Huyo ndiyo Mzee Lowasa.
Mungu wabarika watanzania hili tuje tupate wapinzani wa kweli kuitoa CCM madarakani
, Amina.