Watanzania wengi wamechagua kufuatilia ziara ya Rais Magufuli mikoa ya kusini badala ya kufuatilia bunge la bajeti

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
34,251
2,000
Mimi ni mmoja wao nimeamua kufuatilia ziara ya Rais wetu mpendwa Dr Magufuli katika ziara yake ya kukagua miradi na kufungua miradi iliyokamilika kadhalika kuweka mawe ya msingi kwa miradi mipya.

Leo Rais Magufuli yuko mkoani Njombe nami nafuatilia ziara hiyo mubashara kupitia luninga ya ITV.

Maendeleo hayana vyama!
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
50,979
2,000
Sasa muda wote dikteta yupo kwenye tv. Unadhani utaangalia nini? Bunge kwenyw you tube? Bunge lenyewe sio live.
Bora tu tuangalie drama zake.
 

mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,203
2,000
Hakuna anaependa kuangalia ziara zake ila analazimisha ziara zitangazwe bunge lifungiwe, yaani ubinafsi ulio kithiri, yupo kujisifu na kuhoji ujinga aliokuwa anaunyamazia bungeni eti "nani kaua viwanda vyetu alivyoacha mwalimu" wakati ni mmoja wa walio malizia kuuza nyumba za wakurugenzi wa hivyo viwanda walivyo viua, na jinsi tulivyo wajinga tunamsaidia kusikitika, ewe mchawi ulie tuloga legeza kidogo aisee!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom