uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 7,447
- 10,691
Siasa za Tanzania ni za kiuwendawazimu,Hamfikirii wala kureason critically.
Ni watu wakufuata mkumbo na kukurupuka sana,Najiuliza hii inachangiwa na nini?sijui ni elimu duni ama?
Kwanini tuu wepesi sana kubadilika kwa kauli nyepesi nyepesi na rahisi?
Maswala mazito tunayafanya marahisi kisa tu time delaying.Mapesa ya Uswisi ni Billioni kadhaa,
Jana mmeambiwa huko kwenye visiwa vya Uingereza kuna Matrillion ya Watanzania yamefichwa huko ni zaidi ya mabilioni ya Uswisi.
No one speaks about this, tumesticky Uswisi Uswisi..
Na siyo haya tu kuna matukio mengi sana ya Kisiasa yanatuadhiri sisi Kwa ajili ya ujinga wetu na kufuata mkumbo na Ushabiki wa kitoto.
Someni basi hata vitabu!!!