WaTanzania wengi ni Makapuku na Wacheza Kamari

Gogle

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,495
867
Habari wakuu?

Kwa muda mrefu humu JF kila kila nikirefresh katika ukumbi wa New post threads za mwanzo kutokea ni ile ya makapuku na ile ya kubet, je hii inamaanisha waTanzania wengi ni makapuku na wacheza kamari?

Nauliza tu.
 
Nadhani ni katika thread zenye wachangiaji wengi zaidi humu ndani
 
Kuna yule muimbaji wa singeli anasema ni "muda ya kubet"

Lakini sababu kubwa ni kuwa idadi ya wasiyo na ajira inaongezeka kila sekunde, Pia kwa tabzania kundi linalozalisha ni chini ya 20% kwani kundi tegemezi yaani watoto, wazee, na wasiyokuwa, wadiyoweza kufanya kazi na ajira ni kundi kubwa.
Hii imepelekea vijana wengi kuingia kwenye shughuri kama kamari/ betting wakiamini ni ajira itakayowatoa kimaisha, lakini kupanga ni kuchagua kila mtu afanye yake
 
Na siku hizi kuna thread nyingine ya biashara ya FOREX inatrend, biashara ya Forex ni aina nyingine ya kamari
 
Habari wakuu?
Kwa muda mrefu humu JF kila kila nikirefresh katika ukumbi wa New post threads za mwanzo kutokea ni ile ya makapuku na ile ya kubet, je hii inamaanisha waTanzania wengi ni makapuku na wacheza kamari?

Nauliza tu.
Watanzania wangapi wamo Jamiiforum?
 
Wakati mnaponda me nasubiria goli moja tu mkeka wangu utick nipate hela ya kutumia week nzima
 
Na siku hizi kuna thread nyingine ya biashara ya FOREX inatrend, biashara ya Forex ni aina nyingine ya kamari
Ungejua forex inafanyaje kazi usingeifananisha na kamari. Jaribu siku moja kufanya forex kama kamari kisha uje ulete mrejesho hapahapa. Inahitajika elimu ktk forex sio kama unavyodhania.
 
Ungejua forex inafanyaje kazi usingeifananisha na kamari. Jaribu siku moja kufanya forex kama kamari kisha uje ulete mrejesho hapahapa. Inahitajika elimu ktk forex sio kama unavyodhania.
Hata wale wanaobashiri matokeo ya mechi kwa kuweka pesa wanakataa kuwa ile ni kamari.
 
MKUU SEMA TU WAZI WAZI KUWA WENGI WETU HATUNA UHAKIKA NA MAISHA YA KESHO NA PIA HATUJUI KWA VIPI ITAKUWA HIYO KESHO.TUNABET HADI MAISHA
 
nadhani uzi wa kubeti ndo uzi wenye komenti nyingi kuliko nyuzi zote hapa jf,,ndo ujue watu wanahusudu hela vbaya mnoo
 
biashara yeyote ambayo huzalishi kitu bidhaa au huduma hiyo ni kamali...

usa, europe na asia zimeendelea kwa viwanda sio maigizo ya kushinda online ku predict hela flan itapanda na flani itashuka..

jasho ndio njia ya mafanikio ya kweli ndio maana kuna kitu kinaitwa GDP na GNP..

forex ni kamali tu maana ni ubashiri kama kubet tu

Ungejua forex inafanyaje kazi usingeifananisha na kamari. Jaribu siku moja kufanya forex kama kamari kisha uje ulete mrejesho hapahapa. Inahitajika elimu ktk forex sio kama unavyodhania.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom