Watanzania wengi ni abnormal

kamojatu

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
723
681
Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.
 
hatujitambui,wizi wa kura tukiudhibiti itakuwa mwisho wa habari zote.CCM ni wezi wa kura tu
 
sipendi umasikini, kwa haya yanayoratibiwa na CCM kwa sasa yanazidisha chuki yangu dhidi ya adui ujinga maradhi na UMASIKINI! CCM wanajua kuwa vijana wenye njaa ni wengi sana, nirahisi sana kuwatumia...angalia humu jamvini jinsi ambavyo vijana wa nape na mwigulu wanavyochafua hewa...TATIZO NI UMASIKINI ...
 
Utakuta mwanaume mwenye familia amevaa shati la kijani huku anaimba ccm Ni nambari wani huku suruali imetoboka na kandambili zimekatika. Je, huyu sio abnormal? Isitoshe nyumba anayoishi imepigwa X na watoto hawajaenda shule kisa hawajalipa michango ya ulinzi shuleni. Kwa nini wasiandamane kudai walinzi wa shule wawe waajiriwa wa serikali?
 
Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.
You are absolutely right!
 
Masikitiko makubwa nilio nayo baada ya kusoma nakala yako. Matatizo hasa ni umasikini. Wengi watanzania ni watu masikini sanandio maana wenye nasi na pesa wanatumia nafasi hiyo kuendelea kuwapumbaza watu wakawaida. Tanzania mpaka leo imekuwa na matatizo sabau elimu ilifujwa katika nchi hii. Maendeleo hayapo kwa chopyo cha chama tawala. Leo, Raisi wa tanzania anashindwa kukubali kuwepo au kutokuwepo katika east africa community kwa sabau hizi hizi. Baada ya miaka 50+ ya utawala wa chama kimoja, viongozi wamekuta dhuluma yao inawarudia. Katika hekaheka ya kujitafuta ndio tunaona mateso na dhiki zinazidi kuenea tanzania. Ni wakati viongozi wawache ubinafsi na waitambue kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na sio wao peke yao.
 
You are right!!! Nothing is more terrible than to see ignorance in action.
 
Mleta mada umeniibua toka kwenye tafakuri nzito sana ya maisha ya Madiba. Kwa kipindi kirefu nimejizuia kuchangia hoja humu hasa baada ya kuona hicho unachokiita wewe "abnormal-ility" kushika kasi na kuanza kujidhihirisha humu JF!

Naomba nitoe ya moyoni:
Kwanza mimi naona wengi wana "severe abnormality" kwenye vichwa vyao kiasi kwamba akili zimewahama na kukaa maeneo mengine kabisa wala si vichwani tena! Nchi ambayo misaada ya kofia, khanga, chumvi, n.k ni ishara tosha ya kuchaguliwa kiongozi! Nchi ambayo leo ni muhimu kuliko kesho! Mikutano ya siasa inaangaliwa kwa uwingi wa watu, picha na si hoja zinawasilishwa!

Pili matatizo ya watanzania dawa yake ni kurekebisha mifumo mibovu ya kulindana iliyoota mizizi kwa miaka mingi sana. Sasa watu wanafanya, wanakiri kuwa wana makosa; wanapewa adhabu kwa mujibu wa taratibu eti wengine wanazunguka nchi nzima kuwalisha wengine matamko ya kijinga jinga! Na kuwabebesha watu mabango barabarani! Wengi bila hata kufikiria wanakubali kununuliwa, kutumiwa na kubebeshwa mabango bila hata kufikiria wapo hivyo walivyo kwa sababu gani?

Tatu siasa zetu ni za kijinga sana! Hasa vijana. Wengi tunaangalia leo tu. Wengi tunajiingiza kwenye siasa kuganga njaa. Wengi tunajiingiza kwenye siasa leo ili haraka sana tuwe kama akina Nyerere, Madiba, nk. Men; that is a really long story made very very short!

Nne wengi hawana uwezo wa kuelewa kuwa ukiona kitu kinasimama imara ujue kuna watu wameumia; kuna watu wameteseka! Hivi vyama vyetu vya upinzani tunavyoviona leo ni matokeo ya mateso mengi sana huko nyuma! Kuna watu walijitolea kupambana kwa dhati kuvitangaza na kuvieneza mpaka vikatufikia! Vipo vyama vingi sana ambavyo vimeandaliwa na vinaendeshwa kwa msaada wa watawala. Na Vipo ambavyo vinajimbanua tofauti kabisa! Kwa kuwa sisi ni abnormals wengi tunashindwa hata kujua adui ni nani! Tunapambana hadi na wa kwetu kukidhani ya kwamba tunajiimarisha! Demokrasia yoyote isiyokuwa na elements za nidhamu, utii, uwajibikaji na uvumilivu wa kisiasa ni uwendawazimu!

Tano wengi tunamudu kuchangia mawazo kwenye vitu vya kipuuzi puuzi tu! Mtaani magazeti yanayouzwa sana ni yale yenye habari za kijinga jinga tu! Vitabu hatusomi kwa sababu vingi hatuvielewi na havina stori za kiabnormality!
Zikiletwa threads zenye hoja nzito wala hutokuta watu wanachangia kwa busara! Ni seme tu kuwa wengi tunayoyaandika leo yatatufuata nyuma! Hizi social networks ni maktaba nzuri sana ya mawazo yetu; hata ukiwa chini ya avatar na jina lingine bado ukweli utaishi!

Sita ni katika severe abnormality ya watanzania ndo utakuta wengi wanaamini kuwa majina ya watu yana mchango mkubwa sana kuwaondolea matatizo yao! Kwamba majina ya watu ambao leo wapo kesho hawapo yanawasaulisha madhila yao na ya vizazi vyao! Siasa ni mifumo inayoasisiswa na kusimamiwa na kutekelezwa na wote ili kuleta mabadiliko! Siasa na vyama si majina ya watu!

Saba na mwisho kwa kuwa sisi ni abnormals. Namuomba sana MUNGU atupe raisi na viongozi wengi ambao ni madikteta. Results oriented leaders na wanaoongoza kwa mikono ya chuma! Wenye uchu wa kuongoza miaka mingi kama Mseveni, Mugabe, n.k. Make si vizuri kujisifu kuwa tuna amani na Demokrasia ilhali maendeleo stahiki hayaonekani!
 
Masikitiko makubwa nilio nayo baada ya kusoma nakala yako. Matatizo hasa ni umasikini. Wengi watanzania ni watu masikini sanandio maana wenye nasi na pesa wanatumia nafasi hiyo kuendelea kuwapumbaza watu wakawaida. Tanzania mpaka leo imekuwa na matatizo sabau elimu ilifujwa katika nchi hii. Maendeleo hayapo kwa chopyo cha chama tawala. Leo, Raisi wa tanzania anashindwa kukubali kuwepo au kutokuwepo katika east africa community kwa sabau hizi hizi. Baada ya miaka 50+ ya utawala wa chama kimoja, viongozi wamekuta dhuluma yao inawarudia. Katika hekaheka ya kujitafuta ndio tunaona mateso na dhiki zinazidi kuenea tanzania. Ni wakati viongozi wawache ubinafsi na waitambue kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na sio wao peke yao.

Yaani masikini ndo kawa -------- wa kutupwa na hajitambuwi tena.
 
yaani mkuu unaposema abnomal unakosea..yaani kuendelea kuipenda Serikali ya Chama Cha Mabazazi (CCM) ni zaidi ya uwendawazimu...sasa sijui juu ya uwendawazimu kuna msamiati gani mwingine...yaani katika mazingira kama haya ambayo serikali ambayo tumeichagua wenyewe(sina hakika na hilo)..imetugeuza makatuni nashindwa kutambua kiwango cha uelewa cha WaTANGANYIKA wenzangu...maana kwa hali ilivyo nchini haitaji kuwa na PhD kugundua kuwa CCM imetufanya mazombie....maana kwa uelewa wangu mimi niliyeshia la saba serikali sikivu haiwezi kufanya upuuzi kama huu..huu ni zaidi ya Udikteta...sasa sijui JITU zee zima linaishabikia haya madubwanap(CCM)..akiwa anatumia akili zipi?..maana nashindwa kuelewa nabakia nacheka tu..hahahahahaha..
 
Fanya uchunguzi kwa nini anapingwa na kisha utueleze na sio kuona mawingu na kusema mvua yanyesha. Hali ulioeleza inaonesha kuna jambo limejificha... Fichua utajua kwa nn wanaandamana!
 
Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.
Hii abnormality unayoisema ndo inayofanya kila uchaguzi waichague CCM. Elimu zaidi ya ukombozi inatakiwa hasa mikoani hadi vijijini!
 
Ni kweli unacho ongea,issue hiyo imepangwa na imefanikiwa kwa kiasi kikubwa.'Wafanye wawe taahira uweze kuwatawala.'Hiyo ndiyo moto ya Freemasons wakishirikiana na allies wao.Wanatumia mbinu nyingi sana,Sina haja ya kukutafunia kila kitu,kasome.
 
Ujinga ni kudhani kuna mtu yupo kwaajili ya kuboresha maisha yako. Kweli mitanzania ni abnormal kama inawaza katibu wa cdm anapigania hali zao za maisha badala ya kujipigania yenyewe.
 
Mleta mada umeniibua toka kwenye tafakuri nzito sana ya maisha ya Madiba. Kwa kipindi kirefu nimejizuia kuchangia hoja humu hasa baada ya kuona hicho unachokiita wewe "abnormal-ility" kushika kasi na kuanza kujidhihirisha humu JF!

Naomba nitoe ya moyoni:
Kwanza mimi naona wengi wana "severe abnormality" kwenye vichwa vyao kiasi kwamba akili zimewahama na kukaa maeneo mengine kabisa wala si vichwani tena! Nchi ambayo misaada ya kofia, khanga, chumvi, n.k ni ishara tosha ya kuchaguliwa kiongozi! Nchi ambayo leo ni muhimu kuliko kesho! Mikutano ya siasa inaangaliwa kwa uwingi wa watu, picha na si hoja zinawasilishwa!

Pili matatizo ya watanzania dawa yake ni kurekebisha mifumo mibovu ya kulindana iliyoota mizizi kwa miaka mingi sana. Sasa watu wanafanya, wanakiri kuwa wana makosa; wanapewa adhabu kwa mujibu wa taratibu eti wengine wanazunguka nchi nzima kuwalisha wengine matamko ya kijinga jinga! Na kuwabebesha watu mabango barabarani! Wengi bila hata kufikiria wanakubali kununuliwa, kutumiwa na kubebeshwa mabango bila hata kufikiria wapo hivyo walivyo kwa sababu gani?

Tatu siasa zetu ni za kijinga sana! Hasa vijana. Wengi tunaangalia leo tu. Wengi tunajiingiza kwenye siasa kuganga njaa. Wengi tunajiingiza kwenye siasa leo ili haraka sana tuwe kama akina Nyerere, Madiba, nk. Men; that is a really long story made very very short!

Nne wengi hawana uwezo wa kuelewa kuwa ukiona kitu kinasimama imara ujue kuna watu wameumia; kuna watu wameteseka! Hivi vyama vyetu vya upinzani tunavyoviona leo ni matokeo ya mateso mengi sana huko nyuma! Kuna watu walijitolea kupambana kwa dhati kuvitangaza na kuvieneza mpaka vikatufikia! Vipo vyama vingi sana ambavyo vimeandaliwa na vinaendeshwa kwa msaada wa watawala. Na Vipo ambavyo vinajimbanua tofauti kabisa! Kwa kuwa sisi ni abnormals wengi tunashindwa hata kujua adui ni nani! Tunapambana hadi na wa kwetu kukidhani ya kwamba tunajiimarisha! Demokrasia yoyote isiyokuwa na elements za nidhamu, utii, uwajibikaji na uvumilivu wa kisiasa ni uwendawazimu!

Tano wengi tunamudu kuchangia mawazo kwenye vitu vya kipuuzi puuzi tu! Mtaani magazeti yanayouzwa sana ni yale yenye habari za kijinga jinga tu! Vitabu hatusomi kwa sababu vingi hatuvielewi na havina stori za kiabnormality!
Zikiletwa threads zenye hoja nzito wala hutokuta watu wanachangia kwa busara! Ni seme tu kuwa wengi tunayoyaandika leo yatatufuata nyuma! Hizi social networks ni maktaba nzuri sana ya mawazo yetu; hata ukiwa chini ya avatar na jina lingine bado ukweli utaishi!

Sita ni katika severe abnormality ya watanzania ndo utakuta wengi wanaamini kuwa majina ya watu yana mchango mkubwa sana kuwaondolea matatizo yao! Kwamba majina ya watu ambao leo wapo kesho hawapo yanawasaulisha madhila yao na ya vizazi vyao! Siasa ni mifumo inayoasisiswa na kusimamiwa na kutekelezwa na wote ili kuleta mabadiliko! Siasa na vyama si majina ya watu!

Saba na mwisho kwa kuwa sisi ni abnormals. Namuomba sana MUNGU atupe raisi na viongozi wengi ambao ni madikteta. Results oriented leaders na wanaoongoza kwa mikono ya chuma! Wenye uchu wa kuongoza miaka mingi kama Mseveni, Mugabe, n.k. Make si vizuri kujisifu kuwa tuna amani na Demokrasia ilhali maendeleo stahiki hayaonekani!

Thank you comrade Jp Omuga for your well narrated argument.
 
Last edited by a moderator:
Fanya uchunguzi kwa nini anapingwa na kisha utueleze na sio kuona mawingu na kusema mvua yanyesha. Hali ulioeleza inaonesha kuna jambo limejificha... Fichua utajua kwa nn wanaandamana!

Jicho la Ndani jibu ni rahisi sana! Wanaandamana kwa sababu ya abnormality. Mbona bei ya umeme imepanda kwa asilimia 68 hatujaona wakiandamana? Je, kuna mwananchi yeyote mwenye uhuru wa kubeba bango kwenye mikutano ya CCM?
 
Last edited by a moderator:
Hii abnormality unayoisema ndo inayofanya kila uchaguzi waichague CCM. Elimu zaidi ya ukombozi inatakiwa hasa mikoani hadi vijijini!

Ni kweli kabisa, Na elimu yenyewe inahitaji waelimishaji wenye uvumilivu kwa kuwa kumfundisha abnormal kunahitaji moyo.
 
Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.

Dr Slaa alienda Kigoma kupigania hayo??

Unachekesha,

Abnormal ni wewe uliyeshindwa kugundua kwamba chama kinaendeshwa kibabe,na Dr Slaa alienda Kigoma akihisi anamkomoa Mh Zitto kumbe wanaenda kumpopoa,

Alafu mshauri wake yule muhuni lema(mini kabaang) na mchungaji Msigwa wanakula bata Dar
 
Back
Top Bottom