Inakuwaje mtu anaandamana kumpinga katibu mkuu wa chama cha upinzani ambae anakupigania dhidi ya ongezeko la bei ya umene, kodi mpya ya simu, ongezeko la rushwa mahakamani na polisi, kupanda kwa gharama za usafiri, kubambikiwa kesi mahakamani nk? Watanzania ni abnormal na ccm inajua Hilo ndio maana inawabebesha ma-abnormal mabango yenye handwriting ya mtu mmoja. We are abnormal.