Watanzania wekeni uzalendo mbele tarehe 11/03/2011 mkampokee Prof Lipumba

Mkuu mimi nitaenda kumpokea. Nadhani kwa sasa hana itikadi ya kichama. Kama watu hujitokeza kwenda kuwapokea washiriki wa Big Btother (akina Bhoke) kwa nini tusimpokee huyu ambaye ameonyesha kwamba TZ kuna vichwa?

Hao wanao enda kuwapokea watu wa big brother na viongozi ni wale wasiokuwa na kazi.
Kwanza Airport yenyewe inanuka kweli,sigara kila mahari hovyo hovyo.

Naenda kumpokea ndugu yangu tu,maana najua tukitoka hapo tutakaa
nyumbani kubadilishana mawazo,....sasa unaenda kumpokea Lipumba ana kujua?
 
mimi hii tarehe kwenye kichwa cha habari hapana!

[h=2]watanzania wekeni uzalendo mbele tarehe 11/03/2011 mka mpokee prof lipumba[/h]
 
kumbe waislam wapo wasomi?sijamuona mkristo mwenye akili kama za Prof Lipumba tangu Tz ipate uhuru.
 
kumbe waislam wapo wasomi?sijamuona mkristo mwenye akili kama za Prof Lipumba tangu Tz ipate uhuru.

Mkuu umesahau wapo maprofessa na madokta uchwara hapo bongo vichwa vyote vimenyonyoka nywele kwa siasa na majungu! Mara nyingi hua wanadoea pesa za wafadhili oooops sorry (kumbe wanaitwa washirika wa maendeleo) ambazo huletwa katika NGO's, ndio kazi yao! Angalia madokta na maprofessa wengi wamehamia REDET wanadoea hela za misaada tu kule hawana lolote!
 
Jamani mbona huko kwa wenzetu wazungu sijawahi kusikia mtaalamu aliyebobea(profesa) kuwa mwanasiasa awe wa uchumi,sayansi,sheria etc etc
 
hwa ndio mod wa jf waliopata div 1 za ndalichako kwa nia ya kuusema vibaya uislam, haya ndio matunda ya Ndalichako wa Necta aliokabidhiwa na kanisa

Unaonyesha jinsi ulivyo na akili finyu. Ndalichako amewakataza ninyi kusoma? Unataka kutuaminisha kuwa serikali ya Tanzania inafundisha watu wake kuchukia baadhi ya dini? Kama unataka nchi inayoendeshwa kiislam hamia Libya, Saudia nk
 
Sasa watz wote wanaorudi nyumbani kutokea kwenye missions za umoja wa taifa wakapokelewe? Umeshawahi kwenda kupokea bba participant?
Mkuu sijawahi na wala sitegemei kujitokeza kwenda kufanya hivyo. Ila kwa hili la Prof. nitaenda, Inshallah.
 
Hao wanao enda kuwapokea watu wa big brother na viongozi ni wale wasiokuwa na kazi.
Kwanza Airport yenyewe inanuka kweli,sigara kila mahari hovyo hovyo.

Naenda kumpokea ndugu yangu tu,maana najua tukitoka hapo tutakaa
nyumbani kubadilishana mawazo,....sasa unaenda kumpokea Lipumba ana kujua?
Labda sina kazi! Hata kama hanijui nitaenda tu mkuu. Mimi ni mzamani, naijua barabara ya Nyerere, Mandela na Uhuru hadi maeneo ya Ikulu. Tulikuwa tunajipanga kwenye barabara hizi enzi hizo kuwapokea wageni wa serikali yetu! Nitajikumbusha enzi hizo mkuu.
 
asante kwa ukumbusho mkuu,tuendelee kukumbushana hasa siku moja kabla ya ujio kwani kwa sasa tuna mambo mengi tutasahau
 
Mimi nakubali ni kweli Tz kuna baadhi ya vichwa mnavyo sema. Huyo miaka yote kasimamia chama na amekiua. Hiyo ni sababu vichwa vyenyewe vinatoka kwenye nchi inaongozwa na sijui Maboga au makopo. Ama kweli nabii hasifiki kwake!
 
Back
Top Bottom