Watanzania wekeni uzalendo mbele tarehe 11/03/2011 mkampokee Prof Lipumba

Mimi sioni shida ya Lipumba kuongoza mkutano.
Ni kama kwenye kikao cha harusi tu. Ni hali ya kawaida palipo na watu zaidi ya mmoja kwa lengo linalofanana kuwa na mtu wa kuongoza/kuelekeza/kusimamia mjadala uende kwa mpangilio waliokubaliana/wanavyotaka washiriki au mwaandaaji wa hiyo shughuli. Sasa hapo tukajazane pale eapoti kwa sababu gani?
 
sihivyo unavyofikiria. Ulikuwapo ushindani wa maprofesa zaidi ya 300 duniani prof akaibuka kidedea. Anawakilisha africa na a.mashariki

7
 
Watu wa CUF utawajua kwa maneno yao.Ismail Jussa hakukosea kauli yake kuhusu Ukristo ulivyomkasirisha huko Uzini

HAPO JEE VIPI BIBLIA HAIJAWAKASIRISHA WAKRISTO? Waislamu Hawali Nguruwe, Damu, Au Wanyama Wafu. Biblia Pia Inakataza Hilo “Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika
lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi.
Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga ya”(Biblia Walawi 11:7-8) Baadaye katika aya ya 21 ya sura hiyo tunasoma yafuatayo: “usile kitu kilichokufa
chenyewe. “... Na wale wenye kula nguruwe na uchafu mwingine, ndiyo, pia panya, watapotea wote, asema Bwana”. (Isaya 66:17 Biblia) “Bali tuwapelekee barua kuwaambia wasile vyakula vilivyotiwa najisi kwa kutambikiwa sanamu za miungu; wajiepushe na uasherati; wasile mnyama yeyote aliyenyongwa, na wasinywe
damu.”(Biblia
Matendo 15:20) “Ni lazima tu subiri si kwa kula damu. Kwa sababu damu ni roho na roho usile na nyama. Unapaswa kumwaga kwenye ardhi kama maji “. (Kumbukumbu
12:23-24 Biblia) “Na kama mtu wa nyumba ya Israeli, au mmoja wa wageni ambao wanaishi kati yao, akinywa damu yoyote, nami nitaweka uso wangu dhidi yake ambae anakunywa damu na kumkatilia kwake mbali na watu wake” (Mambo ya Walawi 17:10 Biblia) “Na hakuna damu yoyote
mtayokunywa, ama kwa ndege au mifugo, bila kujali wapi mlipo. Kila mtu anaekunywa damu yoyote, huyo atakatiliwa mbali na watu wake “. (Walawi 7:26-27 Biblia) Ni Haramu Kwa Waislamu Kunywa Pombe. Biblia Inatueleza Wazi Yafutayo “Uasherati na pombe lazima uondoshe akilini” (Hosea 4:11 Biblia) Je, wamesahau kwamba watu wabaya
hawataurithi
Utawala wa Mungu? Msidanganyike!
Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu
sanamu, wazinzi, au walawiti. wevi, wachoyo, walevi, wasengenyaji,
wanyang'anyi, hao wote hawatashiriki Utawala wa Mungu. (Biblia Kwanza Wakorintho 6:9-10) Katika Uislamu ni haramu Riba. Biblia pia inakataza Riba “Unaweza kukopa fedha kwa ajili ya maskini yeyote kati yenu, kati ya watu wangu, hivyo ni lazima si kitendo dhidi yake kama walaji riba. Wala kuongeza juu yake faida yoyote” (Biblia, Kutoka 22:25) “Usichukue faida yoyote ya ndugu yako, ama ya pesa au chakula au kitu kingine chochote ikawa umechukua riba” (Biblia, Kumbukumbu la Torati 23:19) “Na kama mnawakopesha
wale tu mnaotumaini
watawalipeni, je, mtapata tuzo gani? Hata wenye dhambi huwakopesha
wenye dhambi wenzao ili warudishiwe kima kilekile!”. Biblia (Luka 06:34) “... faida na kuchukua riba - Je, ndo ataishi? Hapana, lazima wafe,
lakini kwa sababu yeye kashiriki katika maovu hayo, atakuwa katika adhabu na kifo. damu yake atakuja juu yake “. (Biblia Ezekieli 18:13) Waislamu huchinja na kutoa Swadaqah ya kondoo mwanamke
akijifungua. Hii pia imetajwa katika Biblia. “Na siku yake ya kujisafisha ikifika, ikiwa ni mvulana au binti, atachinja
kondoo mwenye umri kwa sadaka ya kuteketezwa ... (Mambo ya Walawi 00:06 Biblia) Waislamu
Hutahiriwa. Yesu Na
Ibraahiym Na Manabii Wote Wa Israeli Walikuwa Wakitahiriwa? “Siku nane baadaye, wakati wa kumtahiri mtoto ulipofika, walimpa jina Yesu, jina ambalo alikuwa amepewa na malaika kabla hajachukuliwa
mimba '(Biblia, Luka 2:21) “Na Mungu akamwambia
Abrahamu:”Utunze
agano langu, wewe na uzao wako baada yako, na vizazi vyote. Na hili ndilo agano kati ya mimi na wewe na uzao wako baada yenu, ambaye mtazishika kila uume kati yenu kutahiriwa katika govi zenu, na hii itakuwa ni ishara ya agano kati ya mimi na wewe. Vizazi, kila mtoto wa kiume kati yenu atatahiriwa, wakati ni umri wa siku nane, kama walivyofanya
mtumishi wa kuzaliwa katika nyumba yako na yeye ambaye kanunuliwa kwa fedha za kigeni kutoka kwa watu ambao si wa ukoo wako. Utahiriwa ni kwa mtumishi wenu na aliozaliwa katika nyumba yako na yule uliemnunua kwa fedha. Na ndiyo ahadi yangu katika mwili wako wazi kuwa agano la milele. Lakini mmoja wa watoto wa mataifa mengine mtu mmoja ambaye govi haijawahi kutahiriwa, naye atatengwa na watu wake. Yeye kavunjwa ahadi yangu. (Biblia, Mwanzo 9-14)
“Na Ibrahimu alichukua mtoto wake Ismail na watumishi wake wote, mzaliwa wa nyumba yake na watu waliokuwa wamenunuliwa kwa fedha, kila uume kati ya watu wa Ibrahimu, na kutahiriwa siku hiyo govi yao ambayo Mungu alimwambia. Na Abrahimu alikuwa na miaka tisini na tisa. Wakati govi yake ilitahiriwa na mtoto wake Ismail alikuwa na umri wa miaka kumi na tatu wakati govi yake ilitahiriwa. Tarehe ya siku hiyo Ibrahimu katahiriwa,
na mtoto wake Ismail. Na ya watu wote katika nyumba yake, mzaliwa wa watumishi wake wa nyumbani na wale ambao walikuwa wamenunuliwa kwa fedha kutoka mataifa ya nje, walikuwa
wametahiriwa
pamoja naye “. (Mwanzo 17:23-27 Biblia) “Na Ibrahimu katahiriwa mtoto wake Isaka alipokuwa na umri wa siku nane, kama Mungu
alivyomwamuru”.
(Biblia, Mwanzo 21:04) Kuhusu kutahiri ipo katika biblia: “Agano la Kale liliteuliwa na Mungu kama ishara ya pekee kwa watu wa Israeli, na kama ukumbusho wa ahadi zao pamoja naye. (Kutoka 17:09 a, 3 Mwanzo 0:03, Yohana 7:22) Pamoja
na kwamba mistari yote ya Wayahudi inashuhudia hivyo ikawa ni “moto” na utata suala ambalo lilisaidia kugawa watu baada ya kipindi cha Yesu. Kuoa Wake Wengi Katika Uislamu. Hata Katika Biblia Kumetajwa Kuoa Wake Wengi “Akichukua mke mwingine, basi asifanya upungufu wowote katika mlo wa zamani, mavazi au sheria za ndoa”. (Biblia,
Kutoka 21:10) “Kama mtu ana wake wawili, mmoja
anayempenda na mwingine ambaye hamuoni ...” (Biblia, Kumbukumbu la Torati 21:15) “Yeye alikuwa na wake
wawili ...” (Biblia, Samuel 01:02) “Kwa hiyo, Daudi alifika huko pamoja na wake zake wawili ...” (Biblia ya Samuel 02:02) “Lakini wakati wa usiku aliamka na kuchukua wake wake wawili na watu wake wawili wahuduma na wanawe kumi na mmoja….” (Biblia, Mwanzo 32:22 Uislamu Unaamuru Wanaume Kufuga Ndevu: Tuangalie Biblia
Inatwambiaje
Kuhusu Suala Hili “Msikate pande yote ya nywele zenu ya vichwa, wala msikate pande ya ndevu zenu. (Biblia, Walawi 19:27) Katika Biblia imetajwa katika maeneo mengi, kwamba manabii na waumini walikuwa na ndevu. Tazama kwa mfano Ezra 9:03, Mambo ya Walawi 21:05, Nehemia 13:26
 
Huko kuchaguliwa kwa Lipumba si suala la kisiasa, wala la kitaifa, bali ni suala binafsi. Huwezi kuwaambia watu wakampokee, kwa manufaa gani kwao?
Hapo ndipo linapokuja lile tatizo la taifa kushindwa ku-achive mambo ya msingi badala yake watu wanahimizwa kudandia mambo madogo yasiyo na uzito wowote kitaifa.
Wataenda wenye maono mafupi, wengine tutasubiri Olympics ziishe ndiyo tuone kama kuna mashujaa wa taifa wa kwenda kuwapokea na medali zao!
umekuwa na uelewa hafifu wewe mtu unafikiri ninicha kumpa lipumba kama si kumpokea na mjali kama mwananchi alionesha mafanikio vema basi hata timu zisipokelewe. Hata mwanaliadha akileta medali asipokelewe. Namapokeo yawetu kwa wanamichezo je wataalam hawana haki ya kupokolewa
Jamaa fikiria mara 2 kama ni usomi ndo unakufanya utoe pumba humu elimu yako imekufa tena haifai
 
sifa na heshima duniani anazipata yeye wakati nchi yake inaporomoka kila kukicha, AWEKE UZALENDO MBELE

Anayetakiwa kuweka uzalendo ni JK kukubali kuwatumia wasomi waliobobea. Prof. baregu si alinyimwa mkataba pale UDSM kisa CHADEMA. Sasa Lipumba kwa kuwa yuko CUF, JK anashindwa kumtumia. Nadhani ni upeo usio na tija unaoonyeshw ana Rais kukataa kuwatumia watu wenye uwezo kitaaaluma na uzoefu kwenye mambo muhimu kitaifa na kimataifa.
Mnakumbuka story ya Mangula baada ya JK kuchukua chama???? Mshkaj yuko ANC anawapa dondo ambazo CCM wangeendelea kuzitumia.
 
HAPO JEE VIPI BIBLIA HAIJAWAKASIRISHA WAKRISTO? Waislamu Hawali Nguruwe, Damu, Au Wanyama Wafu. Biblia Pia Inakataza Hilo “Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika
lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi.
Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga ya”(Biblia Walawi 11:7-8) Baadaye katika aya ya 21 ya sura hiyo tunasoma yafuatayo: “usile kitu kilichokufa
chenyewe. “... Na wale wenye kula nguruwe na uchafu mwingine, ndiyo, pia panya, watapotea wote, asema Bwana”. (Isaya 66:17 Biblia) “Bali tuwapelekee barua kuwaambia wasile vyakula vilivyotiwa najisi kwa kutambikiwa sanamu za miungu; wajiepushe na uasherati; wasile mnyama yeyote aliyenyongwa, na wasinywe
damu.”(Biblia
Matendo 15:20) “Ni lazima tu subiri si kwa kula damu. Kwa sababu damu ni roho na roho usile na nyama. Unapaswa kumwaga kwenye ardhi kama maji “. (Kumbukumbu
12:23-24 Biblia) “Na kama mtu wa nyumba ya Israeli, au mmoja wa wageni ambao wanaishi kati yao, akinywa damu yoyote, nami nitaweka uso wangu dhidi yake ambae anakunywa damu na kumkatilia kwake mbali na watu wake” (Mambo ya Walawi 17:10 Biblia) “Na hakuna damu yoyote
mtayokunywa, ama kwa ndege au mifugo, bila kujali wapi mlipo. Kila mtu anaekunywa damu yoyote, huyo atakatiliwa mbali na watu wake “. (Walawi 7:26-27 Biblia) Ni Haramu Kwa Waislamu Kunywa Pombe. Biblia Inatueleza Wazi Yafutayo “Uasherati na pombe lazima uondoshe akilini” (Hosea 4:11 Biblia) Je, wamesahau kwamba watu wabaya
hawataurithi
Utawala wa Mungu? Msidanganyike!
Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu
sanamu, wazinzi, au walawiti. wevi, wachoyo, walevi, wasengenyaji,
wanyang'anyi, hao wote hawatashiriki Utawala wa Mungu. (Biblia Kwanza Wakorintho 6:9-10) Katika Uislamu ni haramu Riba. Biblia pia inakataza Riba “Unaweza kukopa fedha kwa ajili ya maskini yeyote kati yenu, kati ya watu wangu, hivyo ni lazima si kitendo dhidi yake kama walaji riba. Wala kuongeza juu yake faida yoyote” (Biblia, Kutoka 22:25) “Usichukue faida yoy Kinacho kuchelewa kufungua kanisa ni nini?
 
Tukampokee kwa sbb amechangia uchumi wa mataifa mengine duniani? Nenda ww kamwambie aachane na siasa uchwara akuze uchumi wetu, tutaenda wenyewe kumpokea mara zote bila ww kubandika bango
 
ndio wewe ujiulize vp dunia inafaidika haswa nchi za ukichwa ngumu wa viongozi wa ccm na serikali yao kumdharau lipumba. Kama mtakumbuka mkapa alimleta prof uchwara wa uchumi huku akimwacha mtanzania prof lipumba kisa itikadi mkapa leo anathibitisha kuwa alileta boga na kulilipapesa nyingi na kufaidisha nje huku akimwacha bingwa wa uchumi duniani ambae mtanzania halisi
kama unataka kuponda uchumi wa mkapa huku huuoni uchumi wa kikwete basi wewe unatumia masaburi na udini umekukaa
 
RUMANYIKA>>> “Usichukue faida yoy
Kinacho kuchelewa
kufungua kanisa ni nini?". Jifundishe kusoma, kuandika na kufahamu kwanza ndio uje ujibizane na watu wenye akili hapa JF! Mbumbumbu kama wewe mutapata tabu sana hapa. Unadandia Treni kwa mbele; utaumbuka ndugu. Hata kuunganisha thread unashindwa!!!?!
 
Akili fupi hizi: kwa hiyo kila anayekwenda kufanya kazi (biashara) nje ya nchi akirudi tukampokee eapoti.
 
Huko kuchaguliwa kwa Lipumba si suala la kisiasa, wala la kitaifa, bali ni suala binafsi. Huwezi kuwaambia watu wakampokee, kwa manufaa gani kwao?
Hapo ndipo linapokuja lile tatizo la taifa kushindwa ku-achive mambo ya msingi badala yake watu wanahimizwa kudandia mambo madogo yasiyo na uzito wowote kitaifa.
Wataenda wenye maono mafupi, wengine tutasubiri Olympics ziishe ndiyo tuone kama kuna mashujaa wa taifa wa kwenda kuwapokea na medali zao!
UMESEMA VYEMA,LIPUMBA IS BENEFITING HIMSELF KWA POST YAKE,MSIWADANGANYE WATANZANIA KWA VITU VISIVYO NA TIJA TUNA ISHU YA MGOMO WA MADAKTARI NA INFLATION.NASHAURI WANA CUF,ADC na CCM WAKAMPOKEE MAANA NI KIONGOZI WAO.IAM WAITNG FOR TWIGA STAR KUWAPOKEA WAKI..............
 
Nina mashaka na uwezo wa kufikiri wa baadhi ya wanaJF. Siamini kama thread hii nayo inageuka kuwa ya kidini!
 
watanzania mnahimizwa na kuombwa kwenda kumpokea profesa ibrahimu lipumba alieiwakilisha vyema tanzania.katika maswala ya uchumi wakidunia akiongoza zaidi ya maprofesa 100 nitunu ya watanzania

Ok, wazo zuri lakini sioni kuongoza kwake maprofesa 100 duniani kunamsaidia vipi masikini wa tanzania!; kwa mtazamo wangu me naona mafanikio aliyoyapata ni personal achevement! kwa hiyo familia na watu walio karibu nae wanatosha kwenda kumpokea airport.
 
umekuwa na uelewa hafifu wewe mtu unafikiri ninicha kumpa lipumba kama si kumpokea na mjali kama mwananchi alionesha mafanikio vema basi hata timu zisipokelewe. Hata mwanaliadha akileta medali asipokelewe. Namapokeo yawetu kwa wanamichezo je wataalam hawana haki ya kupokolewa
Jamaa fikiria mara 2 kama ni usomi ndo unakufanya utoe pumba humu elimu yako imekufa tena haifai

Wewe ni mmojawapo wa wale walionunua fulana za kumpongeza Asha Rose Migiro alipochaguliwa kuwa naibu katibu mkuu wa UN. Ukiangalia leo hii, kile kitendo kimeleta tija au faida gani kwenu mliovaa zile fulana? Lipumba hakupendekezwa na taifa, hiyo ni shughuli yake binafsi; unashindwa hata kuelewa kuwa wanamichezo huwa wanakwenda kwenye mashindano baina ya nchi na nchi ndiyo maana wakirudi na ushindi tunawajibika kuwapokea.
 
Back
Top Bottom