Watanzania wazuiliwa kucheza bahati nasibu ya kupata ukazi wa kudumu (Green Card) Marekani

Viongozi wa "serikali ya wanyonge" ndio wametuponza na wataendelea kutuponza. Wangepigwa ban za greencard visa wao peke yao na familia zao ila sasa wanyonge wote wamo ndani ya mkumbo. Halafu kuna mijitu bado inawaimbia nyimbo za kusifu na kuabudu kama mazombi s.h.e.n.z.i kabisa
Wewe ushapata hiyo green card?
 
Serikali ya Marekani imepiga marufuku raia wa Tanzania kushiriki katika bahati nasibu ya kupata viza ya kuingia Marekani(US Green Card DV Lottery).

Hatua hiyo inakuja saa chache baada ya serikali ya Trump kumpiga marufuku mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingia nchini humo.

Bahati nasibu hiyo hutoa viza kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na kufanya kazi Marekani.

Nchi ya Sudani pia raia wake wamepigwa marufuku kuingia katika bahati nasibu hiyo.

Wakati huo huo raia wa nchi nne ikiwemo mbili za Afrika Nigeria na Eritrea wamepigwa marufuku kabisa kuomba viza za kuhamia Marekani.

Marufuku hiyo pia itazihusisha nchi za Myanmar na Kyryzstan.

Hata hivyo raia wa nchi hizo ambao watataka kuingia Marekani kwa kutalii ama biashara wataruhusiwa.

Ni taifa moja tu la Belarus ambalo lilitajwa katika rasimu ya awali ambalo halijaorodheshwa katika taarifa za leo.

Afisa wa ngazi ya juu nchini Marekani amesema kuwa nchi hizo sita zimeshindwa kufikia "kiwango stahiki cha usalama na kupashana taarifa".

"Nchi hizi, kwa sehemu kubwa, zinataka kutoa msaada lakini kwa sababu mbali mbali zimefeli kufikia viwango vya chini tulivyoviweka," Naibu Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani Chad Wolf amewaambia wanahabari siku ya Ijumaa.

Nchi hizo mpya zinaungana na nchi nyengine saba ambazo raia wake wamepigwa marufuku kuingia Marekani toka mwaka 2017.

Nchi hizo, nyingi zikiwa na raia wengi Waislamu ni Libya, Iran, Somalia, Syria, Yemen.

Aidha nchi za Korea Kaskazini na Venezuela pia zimo kwenye marufuku hiyo.

Chanzo:BBC
Eeee, wote tuko kundi moja, Hata siku amani ikitoweka itakuwa hivyo hivyo, kwamba hakuna wa CCM, CHADEMA na hata asiyekuwa na chama. Tunaongea muda mwingi lakini watu walioko kwenye neema wanapuuza kana kwamba wao vurugu ikitokea hawatahusika wakati ukweli ni kwamba waliokatika nafasi watateseka zaidi kwa kuwa hawakuzoea shida kama wanyonge wanaodhulumiwa na kuteswa pamoja na kukandamizwa.
 
I don't know what is all the fuss about.

TZ sio nchi ya kwanza kusitishwa kushiriki dv lottery. India, China, Brazil, Nigeria nk zilifungiwa kitambo na bado raia wake wanongoza kujaa USA. Aidha Trump anataka kuifuta hii program all together.

Ni rahisi kupigwa na radi kuliko kushinda dv lottery hasa kwa watanzania so sioni impact yeyote hapa ukizingatia bado wanaweza kwenda kwa njia ya visa zingine.
 
Hili nililitarjia muda mrefu Sana, hasa pale Magufuli alianza kufanya mabadiliko kwenye sekta ya madini, na pale RC Makonda alipotoa tamko la kupinga ushoga,Nilikuwa najiuliza kwann hawa Mabeberu wako kimya muda mrefu bila reaction yoyote.Watz tunajua hakuna security requirements zozote ambazo wanataka ss kutekeleza.
 
Most likely the reason behind this is that US is trying to blackmail Tanzania to stop it's relationship with North Korea and Iran.

North Korea has an embassy in Dar es Salaam which is accredited to all neighboring nations except Uganda and Kenya.
Its also rumored that some missile systems in Tanzania have undergone upgrades coutersy of Military experts from North Korea who have been in the country but Tanzanian authorities denied the claims.

But why include common citizen when punishing against a governmental policy issue.
 
Most likely the reason behind this is that US is trying to blackmail Tanzania to stop it's relationship with North Korea and Iran.

North Korea has an embassy in Dar es Salaam which is accredited to all neighboring nations except Uganda and Kenya.
Its also rumored that some missile systems in Tanzania have undergone upgrades coutersy of Military experts from North Korea who have been in the country but Tanzanian authorities denied the claims.
Where have you got all these from? Nipatie link kama hutojali
 
Mmekua wapoleee, pumbavu zenu! Jeuri yote imewaisha! Endeleeni kunyanyasa upinzani tena?
Wewe hujui hata kutumia alama za uandishi...Ccm walifeli sana kupoteza fedha kusomesha mpiga nyeto kama wewe.
 
Wewe hujui hata kutumia alama za uandishi...Ccm walifeli sana kupoteza fedha kusomesha mpiga nyeto kama wewe.
Nimekua mpiga nyeto tena sio shoga? Hahahaha tuendelee na ligi, nimeji-tune Niko vizuri kukujibu
 
Hili zuio la kwenda USA litamuathiri hata bosi wetu wa JF, naomba tusiunge mkono zuio hili badala yake tulipinge kwa nguvu zote mpaka waweke ushahidi hadharani, tuone video clips za kupigwa risasi lissu na kuuawa kwa Ben saanane na wengine, asanteni
 
Back
Top Bottom