Inaonekana Wamarekani wametukomalia sasa. Matokeo ya local politics...
Sent using Jamii Forums mobile app
Katukosesha opportunityHatari yote kisa BASHITE mie nilishajiandaa ku'apply ifikapo hiyo octoba.
Bashite mwana hiyana sana
Mkuu mshkaji wangu mmoja mwaka juzi alipata na kila mwaka yeye anasisitiza kujari bahati yangu..
Kuwa na adabu....Hahaha.Huyo hana lolote zaidi ya kutoa macho kama chura kabanwa mlango.
Tatizo ni ugaidi kupitia siasa Kali za akina FaizaFoxy na wenzakeSasa mtapigwa pini misaada na biashara. Kama Zimbabwe vile. Mbona itakuwa balaa.
Mbona unaweweseka? Unawashwa Nini taarifa yenyewe ya kawaida kabisa ushakimbilia kujihami..ngoja tuone watumwa wa fikra wakishabikia ujambazi wa marekani,
Marekani ikisema demokrasia, ujue kuna taifa litaumizwa kwa vita na kuondolewa katika misingi yake.
Sote ni mashahidi wa namna kete ya Demokrasia ilivyotumika vyema na marekani kuvuruga mataifa mengine.
Doh mwaka uliopita nilijaza aiseee ndio tushatemwa hivo. Makosa ya wengine yanalicost Taifa zima. Kweli mchuma janga hula na wa kwao.