Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
watanzania wanazagaa nchi za nje kwa sababu nchini kwao hawatengezewi nafasi ya kujiendeleza
viongozi wanatnga sheria ambazo zinawabana sana watu wachini na kuwafanya washindwe kujinyanyua kiuchumi.
nafikiri biashara ndogo ndogo nyingi tanzania ndio zinazotoa ajira kwa watu wenye elimu ndogo......wakati serikali imewasahau kabisa watu hawa.