kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
hii inanikumbusha wakati flani nilipo rejea home kusalimia jamii,ndg.mmoja ndani ya familia yangu badala ya kunipa moyo kwa mafanikio machache niliyo yapata akaniambia "kama maisha magumu huko rudi nyumbani''.....mwee!wabongo kwa kuvunjana moyo.:frusty:Haya rudini sasa tugange njaa wote huku, huko hamtakiwi Mpwa