Watanzania Waukaribisha Mwaka Mpya 2012 Kwa Furaha Ndani Ya Dallas, USA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania Waukaribisha Mwaka Mpya 2012 Kwa Furaha Ndani Ya Dallas, USA.

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jan 9, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Watanzania Waukaribisha Mwaka Mpya 2012 Kwa Furaha Ndani Ya Dallas, USA.


  [​IMG]


  <ins style="display: inline-table; border-top-style: none; border-right-style: none; border-bottom-style: none; border-left-style: none; border-width: initial; border-color: initial; border-image: initial; height: 600px; margin-top: 0px; margin-right: 0px; margin-bottom: 0px; margin-left: 0px; padding-top: 0px; padding-right: 0px; padding-bottom: 0px; padding-left: 0px; position: relative; visibility: visible; width: 160px; "><ins id="aswift_2_anchor" style="display: block; border-top-style: none; border-right-style: none; border-bottom-style: none; border-left-style: none; border-width: initial; border-color: initial; border-image: initial; height: 600px; margin-top: 0px; margin-right: 0px; margin-bottom: 0px; margin-left: 0px; padding-top: 0px; padding-right: 0px; padding-bottom: 0px; padding-left: 0px; position: relative; visibility: visible; width: 160px; "><iframe allowtransparency="true" frameborder="0" height="600" hspace="0" marginwidth="0" marginheight="0" scrolling="no" vspace="0" width="160" id="aswift_2" name="aswift_2" style="left: 0px; position: absolute; top: 0px; "></iframe>Watanzania kutoka miji mbalimbali na waishio katika mji wa Dallas jimbo la Texas nchini Marekani waliukaribisha mwaka 2012 kwa furaha na sherehe kubwa iliyofana siku ya mkesha wa mwaka mpya katika ukumbi wa Ginas Banquet Hall.</ins></ins>

  Sherehe hiyo ilikuwa ni moja ya mikusanyiko mbalimbali iliyokuwa ikifanywa na Watanzania na Waafrika wengine katika miji mbalimbali nchini Marekani.

  [​IMG]

  Sherehe hizo ambazo ziliwakutanisha Watanzania kutoka miji mbalimbali nchini Marekani, pia zilihudhuriwa na marafiki mbalimbali wa Watanzania kutoka Kenya, Uganda, Nigeria na nchi nyingine nyingi za Afrika huku wakiburudishwa vya kutosha na DJ maarufu wa Bongo Radio na FunkHouse Entertainment DJ Dennis kutoka jijini Minneapolis, MN.

  [​IMG]

  Umahiri mkubwa wa katika uchanganyi wa muziki wa DJ Dennis uliwafanya wahudhuriaji wote kushindwa kujizuia na kuivamia steji ya kuchezea muda wote wa sherehe hiyo.

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Sherehe hiyo ya kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 iliandaliwa kwa ushirikiano mkubwa na Watanzania waishio Dallas ambao ni Alvin Mchaga, Kitova Mungai kutoka Ngome Entertainment na Peter Kihwil.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Neema Mwaikambo you need to hit the gym. You getting chubby :lol:
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Hehe .... NN

  Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  lakini watu waling`aa kimtindo....

  [​IMG]
   
 5. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Safi sana
   
 6. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  heri ya mwaka mpya.
  mmependeza.
   
Loading...