Watanzania watapeliwa na Dalali wapangishiwa nyumba isiyokuwa na choo


N

Ngonini

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Messages
2,024
Likes
8
Points
135
N

Ngonini

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2010
2,024 8 135
Msemo wa wajinga ndiyo waliwao umetimia tena kwa walala PUUUUU wa kitanzania.
Kuna msemo waswahili husema "Nyumba isiyokuwa na choo haimzuii dalali kupangisha"

Ujinga na umbumbu wa watanzania wametapeliwa tena na dalali(CCM) wamepangishiwa nyumba isyokuwa na choo, sasa wataanza kuhaha wakimtafuta dalali eti awarudishie pesa zao eti walikosea. WAJINGA NDIYO WALIWAO....mafisadi wamechukuwa chao mapema tena.

Sasa ni miaka mingine mitano ya walala hoi kubeba zege kwenye site za mafisadi yakiporomosha mogorofa katika viwanja vya wazi vya kuchezea watoto wetu.

Wamekataa uhuru wakapenda utumwa sasa watawapigia magoti mafisadi mpaka 2015 tena.
 

Forum statistics

Threads 1,238,339
Members 475,888
Posts 29,317,217