Watanzania wape headline atakupa story kamili! Nawapa picha-wekeni captions

Hizi ni tabia za kizee, huwa hatufikiri mara mbili na hatufichi hisia hata kidogo. Ni kama vile ambavyo hatuwezi kuhimili haja ndogo kwa muda mrefu kama tulivyokuwa vijana..... aahahahahhaaa.

Asante kwa mapendoo..
😊😊 I bet,wewe siyo mzee..... utakua mdada wa miaka kama 28+,but anyway it might be true...
 
Nina miaka 50 naelekea 51, mie ni mzee au mdada??

Ki muonekano hapo sijui utanipa miaka mingapi ila kwa kufata cheti cha kuzaliwa huo ndo umri wangu, na hapo ujue nimejidogesha miaka 3 sijaiweka hapo....

Halafu nimesahau, nilisema nikifika miaka 50 sitaongeza tena umri wangu. So ntabaki na miaka 50 hadi siku narudisha namba.
 
Mmmh..... sidhani,hata hivyo inasemekana umri huo huwa mnakua na ashki ya gemu sana,mnakua kama enzi zile za kubalehe,ubibi bado hadi 57 huko.
 
Kingstone
IMG_20191005_175741.jpeg
 
Hizi ni tabia za kizee, huwa hatufikiri mara mbili na hatufichi hisia hata kidogo. Ni kama vile ambavyo hatuwezi kuhimili haja ndogo kwa muda mrefu kama tulivyokuwa vijana..... aahahahahhaaa.

Asante kwa mapendoo..
Hii siri umeitoa hapa unaweza kushtakiwa kwa uhujumu uchumi na utakatishaji wa vifanyio vya wazee.

Hili kosa halina dhamana, utafia kitandani.
 
Aahahahahaaaaa babu ODM una jicho la mwewe aiseeh...

Wakati naandika hiyo quote nilikuwaza wewe nikajisemea ukisoma hapa ama zako ama zangu bin malabuku zetu.

Nnavopenda sasa habari za kufa na kuoza...heheheeeee ninogeshe tuu babu mida hii watu hawajaamka bado, tufanye yetu kabla jua halijachomoza...
 
Ngoja nimalizie jogging kidogo. Jiandae kwa harufu na utelezi wa kijasho chembamba cha asubuhi.

Mahaba uchafuni...
 
Wuuuuhhhhh baabuuuu unanimalisaaaa

Mambo hayo matamuuu umejuaje nayapendaaa.....

Aaaiiilaaabyuuuuuuuu mmmmuuuuaaahhhh!!!

Utanikuta wizout nakusubiria....

K Matata.
 
Back
Top Bottom