Watanzania Wanapenda vya bure au Hawanacha kufanyanya??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania Wanapenda vya bure au Hawanacha kufanyanya???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Mar 14, 2011.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  10.JPG 10.JPG

  Hii ni sehemu ya Watanzania waliokuwa Coco beach kwenye onyesho la bahatika na Tigo
  Source: Michuzi

  Swali langu: Huu umati wote unafuata burudani ya bure, bahati nasibu au ndiyo kukosa la kufanya?? Inaelekea kabisa hata mikutano ya siasa inawezekana watu ni sehemu tu ya kupotezea siku.

  Naomba mod unisaidie kukuza picha!
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  simple ans!watanzania wavivu na hakuna ajira viwanda hakuna,kilimo cha mvua hakilipi utawala uliopo unaendekeza hayo uliyaona
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Watu wengi utafikiri maandamano ya chadema.
   
 4. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Umenena vime. Hasa mikutano ya mafisadi.
   
Loading...