jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,320
Wameisherehekea vizuri sana siku ya uhuru wa kujiamulia mambo including molestation.
Kiongozi mkuu amewasamehe huku akijivunia na kujipiga kifua kutumia vifungu vya katiba!
Of all criminal mlawiti aliyethibitika!
Yaani watanzania mna maana mlawiti miongoni mwa hawa hawa anaowasaka mkuu wa mkoa wa dar?
Kwani wezi wa kuku wameaamehewa wooote!
Mbona hatukuambiwa!
Kah jamani walawiti wa watoto! (proven beyond reasonable doubt) wanaachiwa huru kabisaaa! Sio hata kupunguziwa adhabu!
Hivi hakuna vifungu vya katiba vinavyompa mamlaka magufuli kuwapa tu hata fidia waliovunjiwa vibanda vyao pembezoni mwa barabara ya morogoro? Kwakweli vingeshangiliwa kupita maelezo.
Uatawi wa jamii unaovurugwa na kukosekana makazi kwa mamia kama sio maelfu ya familia zilizobomolewa nyumba zao kweli haikugusa mshipa wa huruma ya magufuli isipokuwa walawiti! Na watanzania wamelipuka kwa shangwe!
Ulawiti umezijaza nyoyo za watanzania kupita maelezo.
Huruma za aina kwa wahanga wa tetemeko zingeongeza mshikamano wa kitaifa, tena mshikamano chanya.
Sawa bwana ngoja nijite kwenye kupongeza.
Nakupongeza magufuli kwa kutufelisha.
Nakupongeza magufuli kwa kumzidi chifu mangungo.
======Msishangae ikipelekwa kusikojulikana.
Au kuunganishwa na thread nyingine hata kama hazifanani========