Watanzania wanajua haki zao

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Muhali gani wakuu

Leo nimesukumwa kuzungumza nanyi watanzania wenzangu hasa maswala ya kisiasa na ugumu wa maisha yaliopo Tanzania

Ieleweke kwamba asilimia 85% ya ww Tanzania hawaijui sheria Ya Tanzania Nini wakifanya Nikosa Nanini nihaki yao kufanya

Hatua hii inatupelekea kuonekama Malofa Na wapumbavu (Mkapa voice) Itifaki nimezingatia

Ktk dunia yyt ile Hakuna nchi ambayo inaweza zuia uhuru wa mwananchi kuhoji Jambo ktk serikali yake alio ichagua naweza kusema ni Tanzania tu au African kiujumla.

Nasababu ya yote niuvivu wetu wakusoma na kuyajua mambo
Mtanzania yuko tayari kusoma gazeti la udaku lakini sio katiba wala sheria ya nchi yake jambo ambalo linatutesa wengi sasa na kuonekana waoga na wanyonge ktk kuhoji endapo jambo linaenda kinyume

Ushauri wangu Nivyema tukazitambua haki na wajibu wetu kama wananchi Na kuijua vyema katiba na sheria za nchi yetu tuweze kuwa huru kuikosoa na kuiwajibisha serikali inapo kosea


Je Nikweli raisi yupo juu ya sheria??

Jibu nihapana hakuna alie juu ya sheria na sheria umuwajibisha kila mmoja endapo anaenda kinyume na uongozi au taratibu za nchi husika

Nini tufanye kuondoka ktk Utumwa na uzibwaji wa midomo??

Nivyema tuka soma nakuijua Sheria na katiba za nchi yetu ili tuweze kupingana au kukubaliana mstakabali wanchi kwa hoja na vifungu

Endapo kiongozi hata fata sheria Ninjia ipi ya uwajibishwaji wake??

1,Wananchi wanahaki ya sheria kumuwajibisha kiongozi anapo kosea au kuvunja sheria ya nchi kwa kutomchagua tena ama kuandamana na kupinga uongozi wake


Hayayote tutakuwa na ujasiri Nayo kama tu tuzazitambua haki zetu kikatiba na kisheria pia

Kwaleo ntaishia hapa lakini

Ntakuja na Uzi wamuendelezo wa mada hii kuijua haki ya serikali na mwananchi kikatiba na kisheria
Asanteni.
 
Watu hatujui hata huyo rais tunamlipa mshahara kiasi gani!

Wewe ukiuliza wenzio wanakuambia 'mshahara ni siri ya mtu'.

Hawajui kuwa rais ni mtumishi wa wananchi.

Wananchi ndiyo wanamuajiri rais awatumikie.

Sasa ni wapi umeshawahi kuona mwajiri haujui mshahara wa mtumishi wake?

Labda Tanzania na Korea Kaskazini tu...
 
Huyo mtumishi wetu amegeuka na kuwa malaika asiyejaribiwa, kauli zake ni za maudhi tu, utasikia mwafaa, msinidrive, yaani ccm wametuingiza chaka kubwa
 
Watu hatujui hata huyo rais tunamlipa mshahara kiasi gani!

Wewe ukiuliza wenzio wanakuambia 'mshahara ni siri ya mtu'.

Hawajui kuwa rais ni mtumishi wa wananchi.

Wananchi ndiyo wanamuajiri rais awatumikie.

Sasa ni wapi umeshawahi kuona mwajiri haujui mshahara wa mtumishi wake?

Labda Tanzania na Korea Kaskazini tu...

Mamvi alilipa kiasi gani kuhamia cdm na kuwa mgombea!?
 
Back
Top Bottom