Hoja zisizo na mashiko kama za mtu wa aina ya Nape,Mwigulu na Lusinde haziwezi kunipotezea muda.Kwamba sasa wananchi ili tupate maendeleo tujadili kwanza DR wa ukweli SLAA ana kadi ya CCM.Nape kama ana lake jambo aseme.Nimuulize kadi ya NCCR ya Wasira alirudisha lini na wapi na alimpa nani?.kadi ya Nyerere anayo nani?ndo kusema Nyerere bado ni mwanachama wa chama cha MAFISADI CCM? kama DR wa ukweli SLAA anayo kadi atwambie SLAA kavunja sheria ipi ya nchi? ibara ipi ya katiba.Atwambie KINANA alishatangaza kustaafu siasa,ni sababu zipi wamempa ukatibu wa chama?au ndo kusema wamekoswa watu makini kama Slaa ndani ya chama chao cha ccm na ndo maana anampigia magoti Slaa arudi CCM kwa kuwa ni mchapakazi mzuri na kadi yao wakampe ukatibu mkuu wa chama cha CCM????????????KUWA WAZI NAPE.FUNGUKA.Twambie pia pesa walizoficha wana ccm huko Uswis wanarudisha lini?na wale mafisadi wa CCM mliokubaliana Dodoma kuwavua gamba wote mmeshawavua? HATUDANGANYIKI