Watanzania wanahitaji maendeleo na si Kadi ya ya CCM Aliyonayo DR.Slaa

mjuaji

Senior Member
Apr 6, 2012
166
22
Hoja zisizo na mashiko kama za mtu wa aina ya Nape,Mwigulu na Lusinde haziwezi kunipotezea muda.Kwamba sasa wananchi ili tupate maendeleo tujadili kwanza DR wa ukweli SLAA ana kadi ya CCM.Nape kama ana lake jambo aseme.Nimuulize kadi ya NCCR ya Wasira alirudisha lini na wapi na alimpa nani?.kadi ya Nyerere anayo nani?ndo kusema Nyerere bado ni mwanachama wa chama cha MAFISADI CCM? kama DR wa ukweli SLAA anayo kadi atwambie SLAA kavunja sheria ipi ya nchi? ibara ipi ya katiba.Atwambie KINANA alishatangaza kustaafu siasa,ni sababu zipi wamempa ukatibu wa chama?au ndo kusema wamekoswa watu makini kama Slaa ndani ya chama chao cha ccm na ndo maana anampigia magoti Slaa arudi CCM kwa kuwa ni mchapakazi mzuri na kadi yao wakampe ukatibu mkuu wa chama cha CCM????????????KUWA WAZI NAPE.FUNGUKA.Twambie pia pesa walizoficha wana ccm huko Uswis wanarudisha lini?na wale mafisadi wa CCM mliokubaliana Dodoma kuwavua gamba wote mmeshawavua? HATUDANGANYIKI
 
Kinachohitajika ni uaminifu. Kuilipia kadi ya chama kingine kwa siri ni kukosa uaminifu na hiyo inasababisha hata maneno anayosema Slaa yasiaminiwe tena.
 
CCM mna kazi kweli, mnadhani propaganda za kishenzi ndo mtaonewa huruma!

Maji yamewafika shingoni. Mkitaka kusalimika; fukuzeni mafisadi, acheni kuua wananchi wasio na hatia,Rudisheni mali mlizoiba na kupeleka nje, Vunjeni mikataba ya kutuibia rasilimali zetu, tekelezeni ahadi zenu zote kwa wananchi na acheni uongo.

Vinginevyo siku zenu zimekaribia
 
Hoja zisizo na mashiko kama za mtu wa aina ya Nape,Mwigulu na Lusinde haziwezi kunipotezea muda.Kwamba sasa wananchi ili tupate maendeleo tujadili kwanza DR wa ukweli SLAA ana kadi ya CCM.Nape kama ana lake jambo aseme.Nimuulize kadi ya NCCR ya Wasira alirudisha lini na wapi na alimpa nani?.kadi ya Nyerere anayo nani?ndo kusema Nyerere bado ni mwanachama wa chama cha MAFISADI CCM? kama DR wa ukweli SLAA anayo kadi atwambie SLAA kavunja sheria ipi ya nchi? ibara ipi ya katiba.Atwambie KINANA alishatangaza kustaafu siasa,ni sababu zipi wamempa ukatibu wa chama?au ndo kusema wamekoswa watu makini kama Slaa ndani ya chama chao cha ccm na ndo maana anampigia magoti Slaa arudi CCM kwa kuwa ni mchapakazi mzuri na kadi yao wakampe ukatibu mkuu wa chama cha CCM????????????KUWA WAZI NAPE.FUNGUKA.Twambie pia pesa walizoficha wana ccm huko Uswis wanarudisha lini?na wale mafisadi wa CCM mliokubaliana Dodoma kuwavua gamba wote mmeshawavua? HATUDANGANYIKI

Nimelipenda sana jina lako Bw/Bi. Mjuaji.

E bwana em naomba unisaidie kitu; nahisi kuns jambo limenipita katika hizi taarifa taarifa za kina Slaa na Nape. Swali langu moja kwako ni hili:

Je, Dr. Slaa amethibitisha kuwa anailipia kadi yake ya CCM?

Unaweza pia kunipa elimu kwenye jambo hili kwa kujibu Swali hili la nyongeza:

Je Nape katoa ushahidi wa photocopy ya marisiti ya Dr. Slaa kulipia kadi ?

Au tunajadili Riwaya inayohusu Mtungo unaosema Dr. Slaa Analipia kadi yake ya CCM?

Je kuna uwezekano kuwa DR. Slaa anajihisi kwa kuwa yeye Si Mchaga basi hana fyucha katika "chama cha wachaga?"

Tafadhali nijuze ndugu yangu, kuna mengi yamenipita
 
bwana Highlander, hakuna udhibitisho wowote wa list kuwa DR Slaa analipia kadi za CCM.Hii ni riwaya ya Nape tu
 
Kinachohitajika ni uaminifu. Kuilipia kadi ya chama kingine kwa siri ni kukosa uaminifu na hiyo inasababisha hata maneno anayosema Slaa yasiaminiwe tena.

Tutaacha kumwamini pale 2 mtakapotuonyesha risiti. Tofauti na hapo ni porojo. Wimbo wa kadi umegonga mwamba tafuteni mwingine.
 
Hoja zisizo na mashiko kama za mtu wa aina ya Nape,Mwigulu na Lusinde haziwezi kunipotezea muda.Kwamba sasa wananchi ili tupate maendeleo tujadili kwanza DR wa ukweli SLAA ana kadi ya CCM.Nape kama ana lake jambo aseme.Nimuulize kadi ya NCCR ya Wasira alirudisha lini na wapi na alimpa nani?.kadi ya Nyerere anayo nani?ndo kusema Nyerere bado ni mwanachama wa chama cha MAFISADI CCM? kama DR wa ukweli SLAA anayo kadi atwambie SLAA kavunja sheria ipi ya nchi? ibara ipi ya katiba.Atwambie KINANA alishatangaza kustaafu siasa,ni sababu zipi wamempa ukatibu wa chama?au ndo kusema wamekoswa watu makini kama Slaa ndani ya chama chao cha ccm na ndo maana anampigia magoti Slaa arudi CCM kwa kuwa ni mchapakazi mzuri na kadi yao wakampe ukatibu mkuu wa chama cha CCM????????????KUWA WAZI NAPE.FUNGUKA.Twambie pia pesa walizoficha wana ccm huko Uswis wanarudisha lini?na wale mafisadi wa CCM mliokubaliana Dodoma kuwavua gamba wote mmeshawavua? HATUDANGANYIKI
Safi sana kamanda! inapendeza sana! yani imefikia mahari hawa wapuuzi wanajadili vitu visivyo na uhai! KADI what is kadi! jamani watu wanalala njaa Hospitali hazina Dawa Eti mtu mzima analeta hoja ya kadi iwe hoja ya kitaifa! Dah tuna kazi kweli kweli Watanzania..............:rofl:
 
Mwanangu Mjuaji umenena vyema. Sina swali ingawa wapo wenye maswali. Keep it up the stuff is good. Je watakuelewa wale wanazi na magamba?
Hoja zisizo na mashiko kama za mtu wa aina ya Nape,Mwigulu na Lusinde haziwezi kunipotezea muda.Kwamba sasa wananchi ili tupate maendeleo tujadili kwanza DR wa ukweli SLAA ana kadi ya CCM.Nape kama ana lake jambo aseme.Nimuulize kadi ya NCCR ya Wasira alirudisha lini na wapi na alimpa nani?.kadi ya Nyerere anayo nani?ndo kusema Nyerere bado ni mwanachama wa chama cha MAFISADI CCM? kama DR wa ukweli SLAA anayo kadi atwambie SLAA kavunja sheria ipi ya nchi? ibara ipi ya katiba.Atwambie KINANA alishatangaza kustaafu siasa,ni sababu zipi wamempa ukatibu wa chama?au ndo kusema wamekoswa watu makini kama Slaa ndani ya chama chao cha ccm na ndo maana anampigia magoti Slaa arudi CCM kwa kuwa ni mchapakazi mzuri na kadi yao wakampe ukatibu mkuu wa chama cha CCM????????????KUWA WAZI NAPE.FUNGUKA.Twambie pia pesa walizoficha wana ccm huko Uswis wanarudisha lini?na wale mafisadi wa CCM mliokubaliana Dodoma kuwavua gamba wote mmeshawavua? HATUDANGANYIKI
 
Hoja zisizo na mashiko kama za mtu wa aina ya Nape,Mwigulu na Lusinde haziwezi kunipotezea muda.Kwamba sasa wananchi ili tupate maendeleo tujadili kwanza DR wa ukweli SLAA ana kadi ya CCM.Nape kama ana lake jambo aseme.Nimuulize kadi ya NCCR ya Wasira alirudisha lini na wapi na alimpa nani?.kadi ya Nyerere anayo nani?ndo kusema Nyerere bado ni mwanachama wa chama cha MAFISADI CCM? kama DR wa ukweli SLAA anayo kadi atwambie SLAA kavunja sheria ipi ya nchi? ibara ipi ya katiba.Atwambie KINANA alishatangaza kustaafu siasa,ni sababu zipi wamempa ukatibu wa chama?au ndo kusema wamekoswa watu makini kama Slaa ndani ya chama chao cha ccm na ndo maana anampigia magoti Slaa arudi CCM kwa kuwa ni mchapakazi mzuri na kadi yao wakampe ukatibu mkuu wa chama cha CCM????????????KUWA WAZI NAPE.FUNGUKA.Twambie pia pesa walizoficha wana ccm huko Uswis wanarudisha lini?na wale mafisadi wa CCM mliokubaliana Dodoma kuwavua gamba wote mmeshawavua? HATUDANGANYIKI

mkuu ccm hawana cha kusema kila kitu ovyo.hizo ndo zenye mashiko kwao
 
Stay blessed MJUAJI, well said! Watu wa magamba wameishiwa sera, wanamtamani slaa basi wakampigie magoti huenda akawafikiria! Wanabaki na hoja zilizo kufa za kudai iliyokufa. Nyambaf.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom