Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
- Thread starter
- #41
Nimekuelewa mkuu inaonekana wewe ndo wale wale mabingwa wa matusi! Endeleeni kuchangia harusi wakati elimu nchini inaendelea kushuka.Kutokujitambua kwako hakukupa haki ya kushangaa na kubeza uwezo wa watu wengine!
Unaweza ukawa vipi Tutor ukashindwa kuona falsafa ya andishi langu?...kwa nini ujibu juu juu kwa jazba?
Kama umeshindwa kuhoji, kupigania na kuisimamia serikali itimize majukumu yake kwako kupitia kodi unayolipa, unawezaje kuona uhovyo wa akili za wengine wakati za kwako tu hazikusaiidii hata kudai kile kilichostahili kwako?
Kama unashindwa jambo dogo namna hii, hilo kubwa la kuisimamia serikali kutumia vizuri kodi yako na hata kukuletea miundombinu muhimu ili ujiendeleze utaweza?
Sioni u Tutor ndani yako!