Watanzania wamuua mwenzao Msumbiji kisa madawa ya kulevya

AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
1,035
Watanzania wawili huko Mozambique wamemuua kijana mwenzao kwa kumpiga nyundo ya kichwa kwa ajili ya unga mwisho wa mwezi uliopita Mei 2016.

Tangu kwa kutokuiingia kwa unga katika fukwe za Tanzania vijana wengi wanaouza unga wamekimbilia nje za nchi hasa South Africa, Mozambique, Madagascar, Mauritius na Dubai kwa wenye pesa.
Mozambique na Madagascar ndiko wanapopokelea kazi zao wanazoziita mabumu na kuzisafirisha kwa kutumia mtrack pamoja na magari madogo kuupeleka South Africa na kuuingiza pia Tanzania.

Watanzania hao mmoja anaitwa kwa jina la Chidi na mwenzake wamempiga nyundo ya kichwa na kumuua mtanzania mwenzao anayeitwa Enesmo ambaye walikwenda nae pamoja kupokea mabumu yao na kumgeuka ili wamdhulumu.

walipomgiga nyundo ya kichwa na kumuua inasemekana walikwenda kuutupa mwili wa bwana Enesmo kwenye fukwe za bahari, na vijana hao wawili wakatokomea na unga unaokaribia 100KG za Heroine.

Bwana Enesmo alikuwa ametumwa kwenda kuupokea mzigo( Heroine) ambao ni wa kaka yake anayeishi South Africa.



Habari nyingine hii ya pili hii hapo chini



Man arrested during R93m drug bust in Limpopo
  • South Africa
  • Tuesday 24 May 2016 - 10:24am
BUST+2.JPG

SAPS Police discovered drugs with a street value of R93 million and cash, including foreign currency, hidden in the panels of a Nissan bakkie in Limpopo.

POLOKWANE – A Tanzanian man is expected to appear in the Lephalale Magistrate’s Court on Tuesday after police discovered drugs worth R93 million , including foreign currency hidden in his vehicle.

Limpopo police spokeswoman Colonel Ronel Otto said detectives received a tip-off about a suspicious vehicle from the Groblersburg border post with Botswana.

“A look-out for the bakkie ensued. It was spotted and thoroughly searched by (police) members. They confiscated R139,900 and $10,000 (R157,667) hidden in the door panels,” said Otto, crediting officers from the Bulgerivier SAPS who intercepted the bakkie in nearby Wilgerivier.

Police searched the vehicle seats and panels, where they discovered 93 bags of heroin with a street value of R93m.

The 33-year-old man, who was travelling on a Lesotho passport, is expected to appear in the Lephalale Magistrate's court on Tuesday on charges of smuggling, possession and dealing in drugs.
Source: enca.com
 
Back
Top Bottom