Watanzania wamefungiwa internet

Tanzania ndio nchi ya Kwanza kufunga internet kwnye ichaguzi ???
Hivi serikali na idara zake zote hawana akili wewe ndio mjuvi sana auvipi ? Isaac Newton Ausio ?

Una lalamika sana jamaa kila siku unatukana wewe tuu
Kwanini unajibebesh Mzigo mkubwa sana kaka hama Nchi nenda Russia Au Canada wanataka watu kule
AMANI YRTU NI MUHIMU KULIKO INTERNET KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI. it is security door against Peace distroyers
 
Mbona mimi sina VPN ila JF kila siku ninaperuzi, watu mbona wanaperuzi watsapp.
 
Hivi ukiHARIBU AMANi kwa mitandao ... Amani itarudishwa kwa mitandao kweli?... tutumie akili zetu waTZ ... TAHARUKI ZA UONGO HUSAMBAA KWA NJIA YA MITANDAO NA KUHARIBU AMANI ZA NCHI... Ambapo Amani ikitoweka hatahiyo MITANDAO HAITAPATIKANA TENA sasa sijui MTAMLALAMIKIA NANI KUWA MITANDAO HAMNA hicho kipindi vha VURUGU...?
Kwani kuvumilia kuna shida gani?
 
Those using Commercial VPNs are stupid..You are handing over your phone/computer's private data to hackers, pedophiles and extortionists all for hiding behind a keyboard to hurl insults to H.E Magufuli JP..

Stop Being stupid, Do this
1. Create a Vps on GCP/Azure/AWS
2. Install Debian or Centos
3. Download and configure either -
a)StrongSwan - don't use a passphrase instead create and sign your own Root Certificate (At least 4096 bit cert)

b) install Debian or Centos, Install and configure SoftEther VPN on your cloud VPS of choice. The advantage of this is that you can tunnel through DNS or ICMP bypassing TCP based firewall rules

To avoid all these hustles, stop being a cry baby come out in the open and insult H.E Magufuli openly without being a pussy. Die like a man
Sasa Mr. Genius kwa nini Watanzania wapitie process mrefu ya ujinga ulioandika hapo. Si JPM afungue internet Watanzania waingie JF bila kupitia process mrefu ya ujinga. Afungue internet. Anafunga kwa nini?
 
There is enough internet to watch porn in 8k Resolution. But there is zero internet to hide behind psedo names and undermine the popularly Elected president..H.E John Pombe Magufuli..
 
Those using Commercial VPNs are stupid..You are handing over your phone/computer's private data to hackers, pedophiles and extortionists all for hiding behind a keyboard to hurl insults to H.E Magufuli JP..

Stop Being stupid, Do this
1. Create a Vps on GCP/Azure/AWS
2. Install Debian or Centos
3. Download and configure either -
a)StrongSwan - don't use a passphrase instead create and sign your own Root Certificate (At least 4096 bit cert)

b) install Debian or Centos, Install and configure SoftEther VPN on your cloud VPS of choice. The advantage of this is that you can tunnel through DNS or ICMP bypassing TCP based firewall rules

To avoid all these hustles, stop being a cry baby come out in the open and insult H.E Magufuli openly without being a pussy. Die like a man
For those who still want to hide behind keyboards and insult HE Magufuli JPM but still don't understand my message..Here is a simpler setup that doesn't risk your personal data being mined by commercial VPN cayotes..

Simple..Install Zerotier SDN (software Defined Networking). It simple to use, no Root Certificates, No need for VPS.
uses DNS to punch through firewalls.

The caveat here is that you must have a node outside the Country to tap from
 
Tony ni kweli kuna waliouliwa.na tunaogopa andamana sababu ya kuhofia uhai wetu.
Imagine ukiwaona watoto wako hata barabarani unaweza pata guts za kuingia?
Na pia usisahau magufuli na Uhuru ni ndege wafananao,uchaguzi wenu unakuja mmejiandaa vipi?
Unaweza ukawa unatucheka sisi kumbe kwenu kuna challenge kubwa inakuja zaidi ya sisi! Utajuaje?
Africa imejaa viongozi walafi wa madaraka,hatupaswi kuchekana Bali kukemea maovu.
Siwacheki dadangu. Nawasilisha tu hoja yangu kuwa Tanzania hakuna demokrasia ya kweli. Hata Kenya hatuna demokradia ya kweli lakini huku kwetu hatujawahi kufanyiwa maovu mnayofanyiwa nyinyi. Nawaombeeni uhai na afya na ujasiri kwa wingi.
 
For those pussys who still want to hide behind keyboards and insult HE Magufuli JPM but still don't understand my message..Here is a simpler setup that doesn't risk your personal data being mined by commercial VPN cayotes..

Simple..Install Zerotier SDN (software Defined Networking). It simple to use, no Root Certificates, No need for VPS.
uses DNS to punch through firewalls.

The caveat here is that you must have a node outside the Country to tap from
Sema unajaribu kuturingia kuwa umesomea IT lakini hakuna Mtanzania anayeelewa madudu unayoandika hapa.
 
Ndio haijalalishi,
lakini inaonesha sio jambo geni hata UK wamewah funga kwa mda mfupi (Nenda kagoogle) so relax mzee

Tukiachila internet, wewe ni Mtu wa kulalamika tuu kulalamika tuu kuhus serikali huoni unahatarisha afya ya Akili yako ??hivi
Halo kibiashara ni mbaya sana hii kitu sekta ya utalii kuanzia booking za usafiri malazi na sehenu za kutalii nk zinaathirika sana naona unaangalia upande mmoja wa shillingi. Watu kama nyie wagumu sana kuelewa ila mna kelele nyingi. Huo ni mfano mmoja tu mengine jaza mwenyewe ndio utaona hili jambo la kuzuia net halifai kabisa.
 
Siwacheki dadangu. Nawasilisha tu hoja yangu kuwa Tanzania hakuna demokrasia ya kweli. Hata Kenya hatuna demokradia ya kweli lakini huku kwetu hatujawahi kufanyiwa maovu mnayofanyiwa nyinyi. Nawaombeeni uhai na afya na ujasiri kwa wingi.
Asante. Hakuna jinsi tufanyeje sasa?

Ikabidi tu tufunge kinywa for the sake of our lives.we hope yataisha bila kumwaga damu zaidi

Angalia uganda wakina bobi wine wanavyofanyiwa na vyombo vya usalama..museveni kashavicontrol kama huku kwetu.wanatumwa tu kama mbwa nao wanatelekeza.tutaponea wapi?
 
Hakuna hata mtu mmoja aliepoteza maisha?!Siyo rahisi kudanganya kwenye dunia hii ya utandawazi!

View attachment 1619563

wewe msukule unajua uchaguzi wa kenya walikufa watu wangapi!!!
 
ajabu ni kwamba bado watu wako hewani kibao.

ile nchi yenye GDP kubwa EA kingetokea hiki asingekaa mtu hewani mpaka dakika hii
mnashida sana mongiki.
 
ajabu ni kwamba bado watu wako hewani kibao.

ile nchi yenye GDP kubwa EA kingetokea hiki asingekaa mtu hewani mpaka dakika hii
mnashida sana mongiki.
Wewe uliwajulia wapi Mungiki?
 
Njia nyepesi kwa wale wasiofahamu teknolojia:
nenda Psiphon | Download Android app and Windows client
chukua programu ya Psiphon.
Ni ndogo, unawasha tu, hakuna install.
Ama utumie njia inayopendekezwa au chagua nchi unayopenda kutumia (inasaidia pia kuangalia filamu, TV zinaziruhusiwa kwa nchi fulani tu)
Ni programu iliyowahi kuundwa kwa watu katika nchi kama China, Iran na kadhalika ambako wanajaribu kuzuia wananchi wasione ambacho serikali hakipendi..
 
Back
Top Bottom