Watanzania waliokwama India warejea Nyumbani Kwa ATCL

ushashi

JF-Expert Member
Jul 29, 2016
293
500
Dreamliner limejaa kiwese likapaa mpaka India kuwabeba watanzania wote waliokuwa wanaitaji kurudi kwao lakini wakakosa usafir kutokana na lockdown nchini India.Shukrani za pekee ziwaendee wote walioshiriki kuratibu zoezi hili la kizalendo lenye moyo wa kujali ubinadamu.

Link hii hapa

Wale jamaa wajaluo wa kaskazini mwa Tanzania inasemekana wamepandishiwa nauli ( double price) kutoka Kwa malikia kuja Kariobangi na hawana pesa.Huko waliko hawana chakula na wanakoelekea kuna njaa balaa plus mafuriko, nzige, na nyoka wanazaliana Kwa fujo kule county ya Baringo.Ni hayo Tu
 
Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
5,833
2,000
Huu ni uchekesho.

Utoke India, ambako corona iko under control, ukuje Tanzania ambako watu wanazikwa usiku?
Unafikiri ni kwa nini nchi nyingi zimerudisha raia wao kwao haka kama nchi hizo zina cases nyingi za Corona?
 
kennedy0000

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
3,804
2,000
Unafikiri ni kwa nini nchi nyingi zimerudisha raia wao kwao haka kama nchi hizo zina cases nyingi za Corona?
Nchi nyingi zimerudisha watu wao waliokwama nchi maskini.
Chances za kupona ukiwa India huwezi hata linganisha na Tz.

Kenya KQ ilitangaza ndege ya kuwarudisha wakenya waliokwama US, ikarudi ikiwa empty.
 
Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
5,833
2,000
Nchi nyingi zimerudisha watu wao waliokwama nchi maskini.
Chances za kupona ukiwa India huwezi hata linganisha na Tz.

Kenya KQ ilitangaza ndege ya kuwarudisha wakenya waliokwama US, ikarudi ikiwa empty.
Acha kukariri, katika idadi ya watu waliokufa kwa Corona wengi wanatoka nchi zilizoendelea.
 
ushashi

JF-Expert Member
Jul 29, 2016
293
500
Unarudije bila nauli? Ivi wakenya unawajua vzr ww!! Wanamkwara utadhani wamejaa pesa kumbe kizungu Tu...unakuta mtu at the edge of 40 onwards ana-rent na anawatoto zaidi ya 2....Hana hata a fixed assets...How do you buy an air ticket
Nchi nyingi zimerudisha watu wao waliokwama nchi maskini.
Chances za kupona ukiwa India huwezi hata linganisha na Tz.

Kenya KQ ilitangaza ndege ya kuwarudisha wakenya waliokwama US, ikarudi ikiwa empty.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
15,619
2,000
Ndugu zangu,

Uongozi ni maono,huku bado ulimwengu ukikubaliana na maelekezo ya JPM kuhusu jinsi ya kukabiliana na Covid-19 ambapo hadi WHO wamekiri.Leo tumeshuhudia jinsi maono ya JPM kuwa na Uhuru kwenye nyanja zote imedhihirika.Hatua ya serikali kumiliki ndege imewezesha sasa ukombozi wananchi wetu pale wanapopata shida kwani ATCL imetua katika anga la India jijini Mumbai kuokoa wananchi waliokuwa locked down.

Hii pia imewezekana kutokana na diplomasia makini ambayo nchi yetu imeweza kushawishi ulimwengu kufungua anga ili kunusuru watu wake.

Kudos JPM na timu yako
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,747
2,000
KUNA VITU VINGINE VIKO WAZI KABISA, HILI SHIRIKA LINAJIENDESHA KWA HASARA MNO, HILO LA KUWAFUATA WENZETU NI WAJIBU NA SIO OMBI MAANA NI KODI ZETU ZILE
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,847
2,000
Ndugu zangu,

Uongozi ni maono,huku bado ulimwengu ukikubaliana na maelekezo ya JPM kuhusu jinsi ya kukabiliana na Covid-19 ambapo hadi WHO wamekiri.Leo tumeshuhudia jinsi maono ya JPM kuwa na Uhuru kwenye nyanja zote imedhihirika.Hatua ya serikali kumiliki ndege imewezesha sasa ukombozi wananchi wetu pale wanapopata shida kwani ATCL imetua katika anga la India jijini Mumbai kuokoa wananchi waliokuwa locked down.

Hii pia imewezekana kutokana na diplomasia makini ambayo nchi yetu imeweza kushawishi ulimwengu kufungua anga ili kunusuru watu wake.

Kudos JPM na timu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie mode hii ni habari ya Tanzania, kwanini, kaihamishia huku Kenya Forum?!.
P
 
Fursa Pesa

JF-Expert Member
May 30, 2012
3,485
2,000
Huu ndio umuhimu wa kuwa na vyombo vyetu vya usafiri.
Hongera Serikali ya Awamu ya Tano.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom