Watanzania walioamua kwa makusudi kutompigia kura rais wetu mpendwa Mheshimiwa DK John Pombe Magufuli

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau wote wa
*JF
*Wana CCM
*Wazalendo
*Watanzania

Jamani poleni na pilika za siku nzima na pia nawapongexa sana kwa ushindi wa kishindo na pia natoa shukrani kwa kuunga mkono agenda yangu ya kuhimiza zoezi la kupiga kura na pia naomba umoja na ari mliyoionesha ktk zoezi hili basi pindi tutakapoleta jambo lingine litakalohtaji umoja wetu kama wa Tanzania basi tuitikie kwa kishindo kama mlivyoonyesha mfano.

Ila pia nalazimika kufuatilia kwa karibu watanzania ambao hawakumuunga mkono kwa kutompigia kura Rais wetu mpendwa tena kwa makusudi walimaanisha nini kwani hatuwezi kujiita familia ya Mh John Pombe Magufuli ambaye ni baba yetu halafu tukawa hatuitakii mema nchi yetu na chama chetu. Hivyo tusije laumiana tukitolewa kwa kutokua na vigezo.

Natoa wito kuwa kwa siku za usoni Watanzania wote tutangulize uzalendo kwanza badala ya kutanguliza maslahi binafsi. Mh Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu mpendwa mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake na ambaye amejitolea kwa kila namna kutetea na kulinda rasilimali zetu ili zitumike kwa manufaa ya walio wengi. Kimsingi ni wajibu wa kila Mtanzania kumuunga mkono kiongozi na Jenedari wetu mkuu

Siamini Kuna Mnyarwanda hats mmoja aliyethubutu kutompigia kura Rais Kagame hata kama hampendi pengine kutokana na tofauti za kiitikadi au kikabila au Kilimani.

Nimeshangazwa sana na kampeni zilizoongozwa na baadhi ya Watanzania wenzetu wakiongozwa na Yericko Nyerere mtanzania msaliti asiye na haya wala aibu aliyewahamasisha Watanzania eti wasimpigie kura Rais wao. Hi ni aibu kubwa sana kuona kuwa wenzetu wanatusaliti tena hadharani.

**Ukweli waliompigia kura Rais wetu hatutawasahau kwa uzalendo wao.

Niwatakie usiku mwema
Uzalendo kwanza
Viva JPM
Viva CCM
 
Vipi kashinda kura za rais bora wa afrika 2017???? Au kura hazihatosha???
Na kama hazijatosha ,jecha na lubuva wako wapi kusaidia kuongeza kura hili mungu magufuri ashinde???
Polisi pia hawakuwepo kupiga watu na kuwakata mapanga walioshindwa kumpigia mungu magufuri kura??
Kailima naye yale makontena ya kura feki yakujazilizia anayokuja nayo huko south hajafikanayo tu bado???
Kama yote hayo hayajafanyika ,nasema ni wazembe
 
Magufuli anawatesa vijana walumumba.

Wanahaingaika walambe vyeo matokea Yake waliotoka upinzani ndo wanaula.

Shonza
Msando
Anna

Nyie mnabaki kusema VIVA kila siku. Siku hazigandi.
Ata Mimi ningekuwa jpm nisingekupa cheo unapaka mafuta kwa mgongo wa chupa YOUR NOT COMPETENT.

USHAURI: uwe unashusha nondo za maana nakujibu hoja zenye mashiko mpka vijana wa UFIPA tukose pakujificha.

Wewe baki na VIVA kila siku.
 
Wadau wote wa
*JF
*Wana CCM
*Wazalendo
*Watanzania
Jamani poleni na pilika za siku nzima na pia nawapongexa sana kwa ushindi wa kishindo na pia natoa shukrani kwa kuunga mkono agenda yangu ya kuhimiza zoezi la kupiga kura na pia naomba umoja na ari mliyoionesha ktk zoezi hili basi pindi tutakapoleta jambo lingine litakalohtaji umoja wetu kama wa Tanzania basi tuitikie kwa kishindo kama mlivyoonyesha mfano. Ila pia nalazimika kufuatilia kwa karibu watanzania ambao hawakumuunga mkono kwa kutompigia kura Rais wetu mpendwa tena kwa makusudi walimaanisha nini kwani hatuwezi kujiita familia ya Mh John Pombe Magufuli ambaye ni baba yetu halafu tukawa hatuitakii mema nchi yetu na chama chetu. Hivyo tusije laumiana tukitolewa kwa kutokua na vigezo.
Natoa wito kuwa kwa siku za usoni Watanzania wote tutangulize uzalendo kwanza badala ya kutanguliza maslahi binafsi. Mh Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu mpendwa mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake hivyo na ambaye amejitolea kwa kila namna kutetea na kulinda rasilimali zetu. Kimsingi ni wajibu wa kila Mtanzania kumuunga mkono kiongozi wetu.
Nimeshangazwa sana na kampeni zilizoongozwa na baadhi ya Watanzania wenzetu wakiongozwa na Yericko Nyerere mtanzania msaliti asiye na haya wala aibu aliyewahamasisha Watanzania eti wasimpigie kura Rais wao. Hi ni aibu kubwa sana kuona kuwa wenzetu wanatusaliti tena hadharani.
**Ukweli waliompigia kura Rais wetu hatutawasahau
***Walioamua kutompigia kura Rais wetu kamwe hatutawasahau
Niwatakie usiku mwema
Uzalendo kwanza
Viva JPM
Viva CCM
Moderator, JamiiForums naomba mzidi kutoa somo kwenye matumizi ya news alert.
 
Unatafuta cheo ama
IMG_20180104_034332_285.jpg
 
Nilimpigia kura Michael Jackson

Nikimpigia huyo raisi napata faida gani??

Maana Michael Jackson napenda miziki yake sipendi push up
 
Akili zingine bwana eti unafuatilia kwa karibu watu ambao hawajampigia magufuli kura? Ili uwafanyeje kama hakukuwa na ulazima wa kura si wamtangaze tu ni mshindi kwenye hiyo category? Halafu uzalendo sio kuipenda CCM na wala sio kupiga kura.
Polisi mara nyingine wanapataje tabu kutafuta watekaji na wakati watekaji wenyewe wanajipambanua mchana kweupe? Unawafuatilia watu ww nani ili iweje,?
Ili isikupe shida kuwafuatilia mm ni miongoni mwa wasiompigia magufuli kura hivyo anza kunifualilia kwa karibu
 
Back
Top Bottom