Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 2,764
- 1,205
Nimesikia hata Ghana walifanya hivyo ingawa teknolojia ilileta mushkeli kidogo. Ila sijui kibongobongo kama italeta mabadiliko makubwa. Utasikia ooh tunasubiri matokeo ya kijiji fulani yamechekelewa kwa sababu mtandao una matatizo.