Watanzania waishio nchini Italia wapewa tahadhari dhidi ya Coronavirus

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
613
1,776
Ubalozi wa Tanzania mjini Roma nchini Italia imewatahadharisha raia wake waishio nchini humo dhidi ya Ugonjwa wa Covid-19 ambao umeshagharimu maisha ya watu watano (raia wa Italia)

Ubalozi huo umewataka Watanzania kuchukua tahadhari, kuondoa hofu, na kuwataka ikibidi wavae ‘mask’, kuepuka maeneo yenye misongamano mikubwa ya watu na kufuatilia tahadhari zinazotolewa na vyombo mbalimbali vya habari.

PIC.jpg
 
Back
Top Bottom