Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,495
- 51,090
hao makapuku wabeba mabox wana hela ya kuchanga? ndugu yangu alifia marekani wakashindwa kumsafirisha ikabid tumzike huko huko hawana kitu hao ni mbwembwe tu
Sasa nawewe mwenye pesa ilikuwaje ukashindwa kumsafirisha ndugu yako?Wabeba box hawana pesa,sawa wewe ba familia yako ilikuwaje mukashindwa?Poleni kwa msiba huohao makapuku wabeba mabox wana hela ya kuchanga? ndugu yangu alifia marekani wakashindwa kumsafirisha ikabid tumzike huko huko hawana kitu hao ni mbwembwe tu
sema chadema marekani.eti watanzania huyu kima sorry kimambi naye yumo
sema chadema marekani.eti watanzania huyu kima sorry kimambi naye yumo
kwani chadema marekani ni wa haiti, we vipi si watanzania tu vile vilesema chadema marekani.eti watanzania huyu kima sorry kimambi naye yumo
Sijawahi ona watu na mawazo mgando namna hii!!Safi sana!
Hata huku nyumbani tutamchangia.
Anayoyapigania Lissu(utawala bora,uhuru wa maoni,demokrasia, kuheshimu haki za raia n.k) yana faida hata kwa watoto na wajukuu wa wale wanaombeza na kumkejeli leo hii.
Lissu hapiganii masilahi yake, bali anapigania maslahi ya Taifa hili kwa faida yetu tuliopo leo hii na hata watoto na wajukuu zetu wakiwemo watoto na wajukuu wa wale ambao leo hii wanaomuita msaliti.
Iko siku watatambue mchango wake.
Sawa tu halalishe matendo maovu yanayoendelea hapa nchini kama kuzaliwa nilizaliwa nikakuta shida juudi zangu ndio zinaniokoa ndio maana niko hapa naweza changia mkuu usitupangie nini chakufanya unasingizia maskini wa kutupwa wakati tasafu ipo inafanya kisiasa au njoo na hoja ya maana nasio matope.Sijawahi ona watu na mawazo mgando namna hii!!
Hivi jamani kwa mtanzania wa hali duni ya maisha ambaye hana uhakika wa chakula,, hana maji,, umeme kwake ni hadithi, barabara kuona tu gari kijiji kizima kinakimbia, watoto hawana hela ya mahitaji ya shule, ajira hakuna halafu anatokea mwanasiasa anajinadi uhuru uhuru uhuru uhuru wa nini????? Haki haki haki haki gaaaani???? Hivi huwa tunafikiri kweli???? Wewe salary slip utamconvince vipi mtu mwenye hali tajwa hapo juu aunge mkono mwanasiasa ambaye unakuta posho anachota hazina karibia 1BIL kwa miaka mitano????? Yaani mtu unapigania demokrasia wakati watu wanakufa njaa???
Unaimba wimbo wa uhuru wa maoni tena ya mwanasiasa ambaye anaposho isiyo na kikokotozi apewe uhuru wakati unayemwambia afanye hvyo hana chakula??? Maji anachangia na wanyama hv utakuwa unaakili kweli???
Hakuna kitu kinanikera kama kuweka mikakati au sera za demokrasia ,haki za binadam sjui na uhuru wakati wananchi wanateseka!!! Wanafunzi wamekosa nafasi za kusoma kisa hakuna madarasa,, halafy ww unaimba wimbo huo nooooo?!!!
Watanzania wengi tutaendelea kulalamika kwa wanasiasa kama hawa!!!!
Tunahitaji siasa ya kutatua shida za wananchi waliowengi siyo siasa za wanasiasa kuwafanya wapige kelele nakutetea matumbo yao majukwaani kwa hoja za kipumbavu!!!!
SHIDA zipo nyingi lakn hatuwezi kusikiliza hoja za namna hiyo!!! Mbaya zaidi unakuta mtu analalamika Rais kununua ndege wakati huo huo yeye mikakati yake ni kubadilisha sheria ziruhusu ushoga,, uhuru wa kutoa maoni,, demokrsasia na haki za binadam kama mashoga!!! Ni tatizo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakukataza kuchangia wewe changia!!!S
Sawa tu halalishe matendo maovu yanayoendelea hapa nchini kama kuzaliwa nilizaliwa nikakuta shida juudi zangu ndio zinaniokoa ndio maana niko hapa naweza changia mkuu usitupangie nini chakufanya unasingizia maskini wa kutupwa wakati tasafu ipo inafanya kisiasa au njoo na hoja ya maana nasio matope.
Sasa kama shida ulizikuta mnalalmika nn sasa???? Muwe na akili ndo maana mgonjwa wenu anaongea hiki kesho ashasahau anaomba radhi teena mwambieni atajikwaa bure tuS
Sawa tu halalishe matendo maovu yanayoendelea hapa nchini kama kuzaliwa nilizaliwa nikakuta shida juudi zangu ndio zinaniokoa ndio maana niko hapa naweza changia mkuu usitupangie nini chakufanya unasingizia maskini wa kutupwa wakati tasafu ipo inafanya kisiasa au njoo na hoja ya maana nasio matope.