kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 903
Long time nimekuwa mbali kidogo na nyumbani, sasa nimeamua kuja kupumzika kidogo nyumbani, aisee watanzania ni wafupi mno utadhani vitoto vidogo, kila ninaemuangalia nakaona kama katoto, vimwili vidogooo vifupii.
Nina urefu wa 1.91m, sehem ninayoishi urefu wangu ni wa kawaida sana, sihesabiki kama mrefu ila tanzania dah! kila ninaepishana nae nahisi ni mtoto wa shule ametoka masomo ya jioni!!
Tukiachana na maswala ya genetics, kuna haja ya kutoa elimu kuhusu milo kutolewa kwa kila familia!!
Tafiti zinasemaje? > Lishe duni inachangia kuwafupisha Watanzania | FikraPevu