Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,097
- 34,035
Asalaam Alleykhum Watanzania....!
Wabongo wanashangaza katika starehe kwasababu zifuatazo:
• Starehe yao Ngono na Pombe tu
Kwa Watanzania, ukiwa Mtu mzima above 30 na hutumii kilevi cha pombe unaweza kuonekana mshamba. Starehe kubwa ya Wabongo tena zaidi wenye kipato cha kati (Middle class) na cha chini (Low class ctzns) ni kupata daily profit au Monthly salary na kwenda kunywa pombe na kulewaaa na kulewesha watu hata usiku mzima na kujitangaza kuwa ni tajiri kwishney
• Wabongo wanapenda kuiga starehe na eneo la starehe
Mtu anaanza kazi ya kuajiriwa au kujiajiri anakuwa hana hata hobby ya ulevi ila anafundishwa ulevi na kupelekwa sehemu zenye totoz na baadae hayo ndio yanakuwa maisha yake ya kudumu /lifestyle wakati before starehe yake ilikuwa kutoka na Watoto kila jioni kwenye playing grounds.
Pia Bar/ Eneo flan la starehe likisifiwa utashangaa watu wanahamia huko kama Manyumbu, siongelei Picnic, late La chaz wala Kipok
Nimeishi close na Westerners, Wabongo wenzangu, Kenyans (Nyang'aus), Turkish, Asians...wana vitu vingi vya ziada katika maisha ambavyo havina gharama
Unaweza kutoka na familia na Ukaenjoy na Wife + Watoto vizuri tu bila kulewa, mkaenda Gym pamoja, Picnic ya mbali, Local tourism, Water falls, sehemu za michezo na jioni mkanywa kahawa au uji tu na kubaki na picha na videos za kumbukumbu kwa familia
Hapo hujaingia gharama ya kumaliza 500K mwenyewe kwenye bar bila familia yako
Siwapangii maisha nimeamka tu na wenge la mchambo leo mazee