T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,650
- 34,927
Sina imani Na takwimu hizi zilizotaja baada ya Magufuli kuingia madarakani. Kuna jitihada gani zimefanyika katika ufugaji mpaka ulaji upande kutoka 10kg/yr mwaka 2017/18 mpaka 15kg/yr. Na hizo data za maziwa ndo siamini kabisa eti 2017/18 tulikunywa lita 54M na mwaka huu lita 200M.