Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Kumbuka sanasana wahindi hawana nchi, hata kama amezaliwa Tanzania au Kenya. Mfano wakati wa uchaguzi wakati wowote Kenya wahindi hufungasha vilago na kuja Tanzania au nchi za Ulaya mpaka pale uchaguzi utakapokwisha ndio wanarudisha majembe. Je huu ni uzalendo? na je huyu yuko tayari kufa kwa ajili ya nchi yake? utakuta mababu zao wamezaliwa pale baba zao na wao pia.